Inatesa ukiwa mtu wa huruma hata kwa wale wanaokuumiza. Hakikisha hukumbatii chochote kinachokunyima furaha, tunaishi muda mfupi

Inatesa ukiwa mtu wa huruma hata kwa wale wanaokuumiza. Hakikisha hukumbatii chochote kinachokunyima furaha, tunaishi muda mfupi

I've learnt to mind my life, utawahurumia wangapi, dunia yenyewe haituhurumii.

Ni kweli we live once, life's very short..
CC : Atoto
Ni sahihi inabidi kujidhibiti maana la sivyo unaumia kilasiku
 
Me nilikuwa na roho nyeupe kama mtoto mchanga ila binadamu wamenibadilisha... Nahangaika na wanaohangaika
Na Mimi na wale walioko nami katk shida tu..... Kuna mapito niliwahi kupitia nilitema wengi Sana..... Hainiumi na hainisumbui.
 
Back
Top Bottom