BARD AI JF-Expert Member Joined Jul 24, 2018 Posts 3,591 Reaction score 8,826 Jan 13, 2024 #1 Yaani baada ya CHADEMA kutangaza maandamano kuanzia Januari 24 ghafla Mkuu wa Mkoa wa Dar anaibuka eti Majeshi yatakuwa yanafanya usafi katika jiji la Dar. Yote hii ni kutisha Wapinzani wasitumie haki yao ya kikatiba kwa uhuru.
Yaani baada ya CHADEMA kutangaza maandamano kuanzia Januari 24 ghafla Mkuu wa Mkoa wa Dar anaibuka eti Majeshi yatakuwa yanafanya usafi katika jiji la Dar. Yote hii ni kutisha Wapinzani wasitumie haki yao ya kikatiba kwa uhuru.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Jan 13, 2024 #2 inad hyo sku wakazi wa dar waamke mapema wanye kimafungh mafungu barabarani 🤣