"Mfano halisi ni humu Jf naamini 90% wana Dini zao na wanaobaki ndio vile hapa na pale.
Hoja inakuja hivi" Watu Waki post mambo ya ngono ngono asee wachangiaje ni kama wote ila mtu akiweka maada za kujenga sasa!?
Mimi binafsi tangu nimejiunga humu ni mwaka wa kumi huu lakini mabandiko yangu hayafiki kumi.