Hilo vazi masanja alilovaa ni lakifreemason tena uvaaga wakati wa ibada ya kutoa kafara.
Watu maskini hawaishiwi vihoja. Pale Ghana au Nigeria na west Africa kwa ujumla hilo ni vazi la heshima.Hilo vazi masanja alilovaa ni lakifreemason tena uvaaga wakati wa ibada ya kutoa kafara.
Championship mpwayungu village
Hamna banaaa. Ni vazi la kifreemason tuuuuWatu maskini hawaishiwi vihoja. Pale Ghana au Nigeria na west Africa kwa ujumla hilo ni vazi la heshima.
Halafu amejuaje hilo vazi kama yeye mwenyewe sio freemason? Na kama ni freemason tutawezaje kumwamini mfuasi wa shetani?
Wabongo tunapenda sana mambo ya umbea umbea kwa mfano kuna jukwaa la Historia mimi naliita la Mohamed Said mzee wa watu anapost vitu ambavyo hata mtaani hujawahi kuviskia lakini watu hata kuperuzi tu hola.Hata sieleewi mada inataka tujibu Nini?Mara Mungu hayupo Mara ngono Mara mabandiko yangu..dah sijakupata kbs
Dah hata sijakuelewa ujueee"Mfano halisi ni humu Jf naamini 90% wana Dini zao na wanaobaki ndio vile hapa na pale.
Hoja inakuja hivi" Watu Waki post mambo ya ngono ngono asee wachangiaje ni kama wote ila mtu akiweka maada za kujenga sasa!?
Mimi binafsi tangu nimejiunga humu ni mwaka wa kumi huu lakini mabandiko yangu hayafiki kumi.
Sio kweli sijaeleweka sema ni kwa sababu hili bandiko halina udambu dambu wa habari zenu pendwa.Dah hata sijakuelewa ujueee
Darasa la nne wa zawani huyu."Mfano halisi ni humu Jf naamini 90% wana Dini zao na wanaobaki ndio vile hapa na pale.
Hoja inakuja hivi" Watu Waki post mambo ya ngono ngono asee wachangiaje ni kama wote ila mtu akiweka maada za kujenga sasa!?
Mimi binafsi tangu nimejiunga humu ni mwaka wa kumi huu lakini mabandiko yangu hayafiki kumi.
Mmh tatizo hili...Sio kweli sijaeleweka sema ni kwa sababu hili bandiko halina udambu dambu wa habari zenu pendwa.
Umeona ulivyokuwa kizibo? Yani hujaridhika na kule tulipokuwa tunajadili ikakubidi umtafute kidumeMmh tatizo hili...
Wew ni bubu
Lazima ujinga unao uandika tuukemeee!Umeona ulivyokuwa kizibo? Yani hujaridhika na kule tulipokuwa tunajadili ikakubidi umtafute kidume
Dawa yako Arlteza tu.
Unakidughushi sana kama vipi fungulia unanikasirikia mimi ndo nimekwambia ufunge!?Lazima ujinga unao uandika tuukemeee!
Tatizo lako hujui kuandika.
Kizibo mwenyewe Bwege nini.
Ndio umeandika nini sasa hapo??Unakidughushi sana kama vipi fungulia unanikasirikia mimi ndo nimekwambia ufunge!?
Special case.Man down......!!!
Mdau jamii waga haitaki mada ngumu humu JF.Na kila kitu wamekariri kimapokeo"Mfano halisi ni humu Jf naamini 90% wana Dini zao na wanaobaki ndio vile hapa na pale.