Inatumika nguvu kubwa sana kuishusha Simba

Unalialia nini tena? Haya usilie tutawakataza kusifia Yanga sawa eeh...
Unaposema simba inashushwa na Yanga inapandishwa una maana gani?
Yanga ni timu kubwa, iko juu haina haja ya mtu kuipandisha popote.
Yanga tunacheza uwanjani, matokeo yanajieleza. Mmezoea kucheza mdomoni, ndiyo maana mnajiona mnashushwa.
 
Hatujakataa yanga kusifiwa, ila ni uzwazwa kuisifia yanga at the same time kuiponda simba ambazo hata ukiziweka kwenye mzani mmoja kimataifa simba ni heavy weight kwa yanga na timu nyingi under the saharan desert.
 
Duuh mbona unajitesa namna hii bure? Haujui mpira wa miguu unabadirika?

Kuna aliyebisha Simba haikuwa Bora hiyo miaka minne ya nyuma?

Huioni Yanga Kwa Sasa ndio timu Bora hapa nchini Tanzania??
Mtoke huko shirikisho mje cl
 
Kama hawawezi ku-recognize yanayo fanywa na simba ni bora wakakaa tu kimya sio kulazimisha Simba ionekane mbovu na Yanga kuwa bora hali ya kuwa uhalisia haupo hivyo
So wewe kila ukiona mtu kwenye TV anaongealea mpira unajua ni mchambuzi
 
Hatujakataa yanga kusifiwa, ila ni uzwazwa kuisifia yanga at the same time kuiponda simba ambazo hata ukiziweka kwenye mzani mmoja kimataifa simba ni heavy weight kwa yanga na timu nyingi under the saharan desert.
Pole unaonekana unauchungu sana
 
Kuna mchambuzi mmoja wa redio kwa mihemko yake akauliza eti kwani hao simba walishindwa nini kushiriki cafcc kama kule cafcl wanaona ni kugumu? Nilipigwaa na butwaa ajabi.
 
Hahaaaa uto bhana umeelewa uzi? Viwango vinavoongelewa ni vya ukanda wa cecafa na afrika kwa ujumla.
 
Kuna mchambuzi mmoja wa redio kwa mihemko yake akauliza eti kwani hao simba walishindwa nini kushiriki cafcc kama kule cafcl wanaona ni kugumu? Nilipigwaa na butwaa ajabi.
Kuanza sasa ntakua naangalia mechi tu, naachana na uchambuzi
 
Kwani shida iko wapi wakisema Yanga ni bora kuliko simba, halafu ukweli ukawa simba ni bora zaidi kuliko Yanga?

Acha kuutesa moyo wako kwa mambo madogo madogo.
Shida ni kwamba kuna watu wanabeti huko kwa kuwasikiliza wachambuzi ambao kwa kiasi kikubwa wanapotosha
 
Ngoja mtembee na matokeo mfukoni. Mtafumliwa hadi mtapike mihogo , ugali na sukari ya Heris
 
Sasa aliye na riziki nzuri nani hapa.Yani tufananishe jeans na pajama?wakati mwenye pajama aliipata pajama baada ya jeans kumchana mapajani.Hebu kueni makini.
 
Taja huyo mtangazaji tumjue kwani unaogopa nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…