Inaudhi mtoto wa kiume kuchukuwa miguu ya mama yake, inakera kwa kweli

majebsmafuru

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2017
Posts
454
Reaction score
636
Kaka yangu kanyambia..
"Nimeshuhudia na kupatwa na hili janga, my boy sura kachukuwa yangu, miguu ya mama yake!
Grrrrrr!
Nimekereka sana aise...
Wanaume wenzangu je imewakumba hili janga pia"??!!!
 
Nadhani katufumbia kitu huyu mtu sio bure. Kaichukuaje miguu hiyo?? Kaipeleka wapi?? Kwa mganga sangoma au kwa bamdogo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…