Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Ujue huyo baba hakushiriki michezo, kwahiyo ajitahidi mwanawe ashiriki michezo, na kumpatia vyakula vya protini kwa wingi. Hakika hapo itakuwa no kiba100What if baba anakibamia???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujue huyo baba hakushiriki michezo, kwahiyo ajitahidi mwanawe ashiriki michezo, na kumpatia vyakula vya protini kwa wingi. Hakika hapo itakuwa no kiba100What if baba anakibamia???
Pole mkuu amechukua sura yako ni miguu ya mama yake na kuvipeleka wapi mkuuNimeshuhudia na kupatwa na hili janga, my boy sura kachukuwa yangu, miguu ya mama yake!
Grrrrrr!
Nimekereka sana aise...
Wanaume wenzangu je imewakumba hili janga pia??!!!
Lkn Mkuu si mizuri ina nyama? Au ulitaka iwe kama yako vimguu vyembamba kama anatembelea singeNimeshuhudia na kupatwa na hili janga, my boy sura kachukuwa yangu, miguu ya mama yake!
Grrrrrr!
Nimekereka sana aise...
Wanaume wenzangu je imewakumba hili janga pia??!!!
Mbona wewe ulichukua mapaja ya mama yako lakini baba yako hakwenda ku lalamika magazetini
Angekuwa muelewa asingekuja na haya mashudu kumwaga humu ukumbini.Nimecheka mno kama ni muelewa hawezi leta upuuzi huu tena
Ma mende tungembashiaNa angechukua chura je??