Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hiyo ni kufuru, omba sana maana maana hiyo miguu unayoikataa unaweza ukaikosa kabisa.
Siombi mabaya ila sio vizuri na kama ni jokes sawa
Siombi mabaya ila sio vizuri na kama ni jokes sawa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wana jf tungekuwa tunajuana haki ya nani tungekuwa tunadundana kila sikuMbona wewe ulichukua mapaja ya mama yako lakini baba yako hakwenda ku lalamika magazetini
Jibu murua hiloMbona wewe ulichukua mapaja ya mama yako lakini baba yako hakwenda ku lalamika magazetini
Si bure wewe utakuwa si rizki! kwa hiyo umeona hiyo kazi unayoifanya ni nzuri sana unaanza kumchulia na mwanao?Unataka aanze akiwa mdogo ni nani atendeleza kizazi chako?Nimeshuhudia na kupatwa na hili janga, my boy sura kachukuwa yangu, miguu ya mama yake!
Grrrrrr!
Nimekereka sana aise...
Wanaume wenzangu je imewakumba hili janga pia??!!!
Ulimwomba namba ya simu?Jana nilienda royal ,jirani na Gold crest ,nilienda kununua vitafunio nilikutana na mkaka mzuri huyo kuanzia juu mpaka chini,vidole vya miguu mim mtoto wa kike simfikii hata bure,maji ya kunde alionekana hana mambo mengi ule ujana mwingi maana kanyoa vyema tu,mkono wa kushoto kwa juu alikua na tattoo
We kaka ni handsome kidogo afanane na naniih wa humu jf

Pole mkuu,Mkuu Inbox yako haipokei message.
PoaPole mkuu,
Ulinitafuta saa ngapi ??
Ngoja nikucheki basi....
Huyo atapendwa sana na mademu. Avae pensi tu.Nimeshuhudia na kupatwa na hili janga, my boy sura kachukuwa yangu, miguu ya mama yake!
Grrrrrr!
Nimekereka sana aise...
Wanaume wenzangu je imewakumba hili janga pia??!!!
What if baba anakibamia???Inaboa sana, ila inafurahisha kwa vile mashine kachukua ya baba yake[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]