Inaudhi mtoto wa kiume kuchukuwa miguu ya mama yake, inakera kwa kweli

Inaudhi mtoto wa kiume kuchukuwa miguu ya mama yake, inakera kwa kweli

Nimeshuhudia na kupatwa na hili janga, my boy sura kachukuwa yangu, miguu ya mama yake!
Grrrrrr!
Nimekereka sana aise...
Wanaume wenzangu je imewakumba hili janga pia??!!!

Kwa kustigmatize wanawake bado hujapona akili. Na kwa taarifa mtoto huchukua chromosomes nyingi kwa baba. Uskute we una michirizi ila kwa kuwa iko kwa nyuma huioni
 
Mbona ushaanza kumuwazia mtoto mabaya mapema hiv,tena ni mwanao shekhe,hiv kwel we ni baba unaejielewa kwel,au ndo kina delicious wamepata watoto
 
Mi wangu wa kiume lkn macho, mdomo na sura kwangu. Kwa baba yake kachukua rangi tu.
 
hii sikukuu jamaa amesha piga vyombo vya kutosha.... Kichwani yupo bwiii bia za bure unajikuta unaongea visivyo eleweka
 
weka picha
Mke wake ndiyo huyu, mtoto jiongeze....
14369918_1061823003938564_4110975143441518733_n.jpg
 
Jana nilienda royal ,jirani na Gold crest ,nilienda kununua vitafunio nilikutana na mkaka mzuri huyo kuanzia juu mpaka chini,vidole vya miguu mim mtoto wa kike simfikii hata bure,maji ya kunde alionekana hana mambo mengi ule ujana mwingi maana kanyoa vyema tu,mkono wa kushoto kwa juu alikua na tattoo
We kaka ni handsome kidogo afanane na naniih wa humu jf
 
Nimeshuhudia na kupatwa na hili janga, my boy sura kachukuwa yangu, miguu ya mama yake!
Grrrrrr!
Nimekereka sana aise...
Wanaume wenzangu je imewakumba hili janga pia??!!!
Bora hilo, Wenzako sura za watoto wao zinafanana na jirani
 
Back
Top Bottom