auferet dominus
JF-Expert Member
- Jul 18, 2017
- 1,804
- 1,292
Nimeshuhudia na kupatwa na hili janga, my boy sura kachukuwa yangu, miguu ya mama yake!
Grrrrrr!
Nimekereka sana aise...
Wanaume wenzangu je imewakumba hili janga pia??!!!
Nimecheka mno kama ni muelewa hawezi leta upuuzi huu tenaHaaa !! Kachukua kwenda nayo wapi tena
Mkuu wa Mkoa fulani hiviBora kachukua miguu tu... maboy wengine wanachukua moaka shape za mama zao(CHURA)
Bora hilo, Wenzako sura za watoto wao zinafanana na jiraniNimeshuhudia na kupatwa na hili janga, my boy sura kachukuwa yangu, miguu ya mama yake!
Grrrrrr!
Nimekereka sana aise...
Wanaume wenzangu je imewakumba hili janga pia??!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mbona wewe ulichukua mapaja ya mama yako lakini baba yako hakwenda ku lalamika magazetini
Nipo very curious....Mkuu Inbox yako haipokei message.