Inaudhi mtoto wa kiume kuchukuwa miguu ya mama yake, inakera kwa kweli

Hiyo ni kufuru, omba sana maana maana hiyo miguu unayoikataa unaweza ukaikosa kabisa.
Siombi mabaya ila sio vizuri na kama ni jokes sawa
 
Miguu iyo kivipi yani!! Uyo mtoto ana umri gani kwani?
 
Nimeshuhudia na kupatwa na hili janga, my boy sura kachukuwa yangu, miguu ya mama yake!
Grrrrrr!
Nimekereka sana aise...
Wanaume wenzangu je imewakumba hili janga pia??!!!
Si bure wewe utakuwa si rizki! kwa hiyo umeona hiyo kazi unayoifanya ni nzuri sana unaanza kumchulia na mwanao?Unataka aanze akiwa mdogo ni nani atendeleza kizazi chako?
 
Ulimwomba namba ya simu?
 
Ulimwomba namba ya simu?
 
Shukuru Mungu kachukua miguu ya mama yake...

Kuna wale bahati zao mbaya, huchukua vijungu kabisa...

Cc: mahondaw
 
Nimeshuhudia na kupatwa na hili janga, my boy sura kachukuwa yangu, miguu ya mama yake!
Grrrrrr!
Nimekereka sana aise...
Wanaume wenzangu je imewakumba hili janga pia??!!!
Huyo atapendwa sana na mademu. Avae pensi tu.
 
Inaboa sana, ila inafurahisha kwa vile mashine kachukua ya baba yake[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
What if baba anakibamia???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…