Inauma, inaumiza, inakereketa! William Mungu anakuona

Dah!.. Mapenzi/mahusiano yana visa na mikasa ya kutosha.
 
Umejuaje kama ni ghafla
Kama alikua kwenye mahusiano na wote wa2 kwa wakt mmoja
 
Alishachana na huyo ex wake . Na ndoa ilishatangazwa kanisani. Kwa hiyo ni dhahiri walishaachana na x wake
 
Eti analalamika kaachwa kwa stahili hiyo ya maisha ya hizo picha, hayupo mwanaume mwenye akili timamu wa kumwoa hata kama amemsomesha tangu chekechea sio tu kutoa mahali. Hana dhambi William. Mi naona amemuacha kwa ukaminifu sana kama Yusuf kwenye biblia . Mi ningemkatalia wakati wa kiapo cha madhabuni kuonyesha kuwa hastahili sana.
 
hapana, hakuna mwanaume mjinga kiasi hicho, eti nilipe mahari yote halafu nije niahirishe tuu bila sababu, kuna kitu kikubwa sana nyuma ya pazia, moja hilo,
.
.
pili we ni mdada unataka kuolewa unakubali vipi kuishi kinyumba kabla ya ndoa, kuishi kama mmeshakua mke na mume, hakuna aliemkamilifu lzm mwanaume ataona madhaifu yako mengi, na kwa jinsi tulivyo tunachoka na kuona hatupo sehemu sahihi,
.
na mwisho, huyo dada ameona willium anahela, angekua mwenzangu na mimi walaa asingeliliwa hivyo!
.
.
halafu dada ukitaka kuolewa jifunze kuwa mke wa mtu, kwa sasa tunapata tabu kupata mke wa kuishi nae, kuna tabia ukishaziona lzm ukimbize ubawa!! mlevi, nature ya marafiki zake,, wakat mwingine na historia yako!! kama unataka kuolewa jifunze tabia njema za mke mwema, mama wa watoto wa familia, hii ni heshima kubwa sana mwanaume humpa mwanamke,
 
Mimi mtu mzima ati.

Mimi nasema kama ningekuwa wazazi wa Linda huyo William nisingekubali kua binti yetu. Ingawa story yenyewe nasikia ni ya kutunga hii
Ingekuwa umempunguzia binti yako stress za kwenda kuripoti clouds
 
Willy ni mvulana Mama,inakuwaje unawekeza penzi lako Kwa vitoto vichanga havijaanza kutoa mbegu nzito Kama uji
 
Karma is a bitch. .
Mda mwingine sio kila kitu kulalamika, usikute Mungu kamuepusha na mtu mbaya sana. Mda mwingine tunatakiwa tujifunze kufurahi na kushukuru hata kwenye mambo yasiyotupendeza. .
Kwa sisi tunaomfahamu vyema mlalamikaji wala hatutatumia muda kumsikiliza hapo pamoto huyo William mpe pongezi Sanaa.
 
Hapo hamna muolewaji.
 
Wazungu wa pwani wanasema. It's not Too late until it's too late.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…