Inauma sana. Leo amenitamkia wazi kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa

Inauma sana. Leo amenitamkia wazi kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa

hao unaowaridhisha ndio wa kwako some times mapenzi huendana na damu kati ya mtu na mtu pengine wewe haupo kwenye akili yake kabisa nywele kiza kinene
 
Jaribu kutumia PUTURU au MUNDENDE......Hakikisha inawaka MOTO ili afute KAULI.
 
Habari wakuu
Pamoja na umwamba wangu katika mapenzi
Nimekutana na binti mmoja ambae tumekutana kimwili Mara 4
Leo kanichana wazi baada ya mchezo kuwa simridhishi na hajawahi kuridhishwa na mwanaume yeyote.
Nimebaki njia Panda sijui Cha kufanya
Natamani nimuache ila naona sio solution nzuri
Naombeni msaada wenu
Mwache, jifunze uliyooambiwa, anza upya na kasi mpya kwa mpya..
Simple
 
Wanawake wanavumilia mengi na mwanamke akikupenda atakuvumilia kwa mengi ila ingekuwa kila mwanamke anatoa Siri ya kuridhika ama kutoridhika asilimia kubwa hawaridhiki ubakaji ndio mwingi, ndio maana Kuna ongezeko kubwa wake za watu wanachepuka,wababa wako busy kula maisha na vimada akirudi kwa mke nguvu za kiume zimeishia kwa mchepuko anaishia kupanda kitandani na kukoroma ,Bibi mkubwa uliyemuacha nyumbani kumbuka naye anakula na kushiba lazima ataenda kupata faraja kwa bodaboda na gengeni kwa mangi
 
(inauzwa sh 1500) game inayofuata tafuta sildenafil, kidonge kimoja tu, na usile mivyakula ya kukaanga siku hiyo. Anza kifo cha mende, halafu ushindi utaupatia kwa chuma mboga.
 
Una uhakika?? Kuna wanawake huwa wanadanganya katika Hili...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wewe pia unaongopa sio, mnadanganya ili iweje lakini wakati mnapiga kelelele chumba kizima sauti ni yako mpaka hotel nzima shughuli zinasimama kwa mahaba halafu baadae unasema huridhishwi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom