Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Hapo ndipo mnapokosea ninyi wanaume.Hahaa, sasa hayo mambo si ya kukaa na kuzungumza tu na mumeo awe anakufanyia mambo kama hayo, unajua wanaume wengi huwa tunapunguza hizo nakshi nakshi tukishaoa kwa sababu tunajua tushakuweka ndani
Hahaa, mambo ya pm ni ya huko huko utayajua tu [emoji4]
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Unajua umeshanioa basi ndio umemaliza kila kitu.
Kaka....unaangamia.
Na ndio maana wapo wanaojiendeleza kielimu wakiwa makazini.
Sasa wewe nioe afu jibweteke, nikikutana na Bluce Lee huko matembezini, utajuta, nakuja "kujisomea gazeti" ndoani, nikishalifunga gazeti kwako.....huko nje naenda kumaliza kila kitu mpaka matangazo ya michezo "naicheza"