halloperidon
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,096
- 5,254
Hahaa, sasa hayo mambo si ya kukaa na kuzungumza tu na mumeo awe anakufanyia mambo kama hayo, unajua wanaume wengi huwa tunapunguza hizo nakshi nakshi tukishaoa kwa sababu tunajua tushakuweka ndaniKwa sababu zipo sababu nyingi sana za kucheat:-
Huenda mume haniandai, ananiparamia tu...lazima nikaandaliwe nje
Mume hajui kuninyonya....nitaenda nyonywa nje
Mume hajui mara ya mwisho kanibeba lini zaidi ya siku ya harusi....nitaenda kubebwa nje
Mume hajui sehemu za kunipa ashki.... zitatafutwa nje.
Mume kila siku style ile ile ya popobawa kaingia mjini...nitaenda pewa style zingine nje
Mume hajui mara ya mwisho hajui mara ya mwisho kuniparada lini....nitaenda paratiwa nje.
Hajawahi nibusu, huyu lazima achitiwe, hamna namna.
Pm kuna nini bhana....unataka nicheat?
Hahaa, mambo ya pm ni ya huko huko utayajua tu [emoji4]
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app