Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Kwa sababu zipo sababu nyingi sana za kucheat:-
Huenda mume haniandai, ananiparamia tu...lazima nikaandaliwe nje
Mume hajui kuninyonya....nitaenda nyonywa nje
Mume hajui mara ya mwisho kanibeba lini zaidi ya siku ya harusi....nitaenda kubebwa nje
Mume hajui sehemu za kunipa ashki.... zitatafutwa nje.
Mume kila siku style ile ile ya popobawa kaingia mjini...nitaenda pewa style zingine nje
Mume hajui mara ya mwisho hajui mara ya mwisho kuniparada lini....nitaenda paratiwa nje.
Hajawahi nibusu, huyu lazima achitiwe, hamna namna.
Pm kuna nini bhana....unataka nicheat?
Hahaa, sasa hayo mambo si ya kukaa na kuzungumza tu na mumeo awe anakufanyia mambo kama hayo, unajua wanaume wengi huwa tunapunguza hizo nakshi nakshi tukishaoa kwa sababu tunajua tushakuweka ndani

Hahaa, mambo ya pm ni ya huko huko utayajua tu [emoji4]

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Hivi wanawake wwlivyo wengi hivi na sisi wanaume tuko wachache, unaanzaje kugombania K?

Send from Buja
 
Kaka tafadhari weeee.....
Kaka hivi unatujua sisi wanawake au unatusikia?
Mtu analea watoto zaidi ya Watson na si wake...
Kaka tafadhari mkuu.
Yakikukuta tutakuja kuifufua hii thread hata ipite miaka mia.
Labda tu Jf ife

Wanaume tunatofautiana, kuna wanaume wana wasiwasi kuwa watoto si wao ila kupima hawataki, hawataki stress.

Kuna wengine hata wasiwasi huo hawana wala hawaoni sababu ya kuwa nao.

Unajua ujanja wa wanawake ni mdogo sana, vipimo vyenyewe ni mimi na watoto basi, mwanamke hata hausiki, kwanini nisiwapime nijiridhishe?

I trust but I inspect, yaani sina ile trust plain plain






Sent from my SM-G955FD using JamiiForums mobile app
 
Karne hii unapigana kisa mwanamke??

Karne hii unampiga mwanaume mwenzio hadi kumuua kisa mwanamke?

Pumzika kwa amani kijana!
 
Huyu jamaa ilitakiwa aipige k mpaka aipasue,though the anger of a pennis does not destroy the vagina

Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app
 
Kosa la mwanamke lipo wapi? Muwe mnatoa taarifa mnapokwenda kuwatembelea wachumba zenu, kumbuka mchumba sio mke hivyo wengine sio waaminifu, hata kwa wanaume hutokea hivo

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
 
Fikisha pole zangu kwa wafiwa lakini tunapaswa kujifunza namna ya kuishi nao kwa akili hata biblia inahitaji hivyo....Ni rahisi sana kudanganyika hawa warembo kama waliweza kudanganywa na nyoka ije kuwa binadamu!! hakuna demu mgumu sema timing na maneno yako tu na jinsi unavyomtengenezea mazingira.. pia tusiwa-personalize tuwe kama wamasai akikuta mkuki nje anakohoa kohoa pale nje ili mwenzie ajiandae kutoka halafu yeye anaenda mbalii kusubiria ili asimuone kabisa. Kikubwa tuiishi nao kwa akiliiii.
 
Mwanaume hawezi kuficha mtoto ,atamleta kwako na wewe unajua kabisa unalea mtoto asiekua wako na utajua umlee kwa staili gani.

Lakini kwa mwanamke utakuta unalea toka mimba ,kumbe sio yako,mbaya zaidi hujui hiyomimba amaipata mazingila gani,bora ukoo wao wawe wenye busara na wasomi,usiombe usingiziwe mtoto ambae asiri ya kwao ni wachawi au vibaka.huyo mtoto atakusumbua sana.

Utasikia mtoto kamkata panga babaake kumbe hata sio damu yako masikini.
Hapo ndipo mnapokosea.
Kwanini ninyi muwe na ujasiri wa kutuletea watoto lakini sisi ujasiri huo hatuna?
Tatizo ni moja tu....hunipi muda wa kukaa na wewe na kuzungumza.
Endapo tutakaa na kuzungumza, utaujua udhaifu wako ulipo na wapi pa kurekebisha.
Utafahamu nani ananifatilia kwa vitisho.
Ila ninyi hamna hilo....mkitoka kazini tu ni kulewa au kukesha na marafiki zenu mpiranj.
Acha muendelee kulea, watakuja kutusaidia tukizeeka.
 
Fikisha pole zangu kwa wafiwa lakini tunapaswa kujifunza namna ya kuishi nao kwa akili hata biblia inahitaji hivyo....Ni rahisi sana kudanganyika hawa warembo kama waliweza kudanganywa na nyoka ije kuwa binadamu!! hakuna demu mgumu sema timing na maneno yako tu na jinsi unavyomtengenezea mazingira.. pia tusiwa-personalize tuwe kama wamasai akikuta mkuki nje anakohoa kohoa pale nje ili mwenzie ajiandae kutoka halafu yeye anaenda mbalii kusubiria ili asimuone kabisa. Kikubwa tuiishi nao kwa akiliiii.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] duh!

Kama sijawaunganisha na mkuki wakwai wenyewe sijui![emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
iko hivibmwanamke ndio alimpigia mwanaume njoo mwanza unitembelee, mwanamke alikuwa anakaa peke yake licha ya kuwa na mimba, frans alifika asubuhi ya siku inayofuata maana mabus hulala njiani,, ndio akafikia nyumbani kwa mpenz wake akamkuta na mimba, sasa asubuhi ile wakati wanabishana yule msichana akatoka akaenda kumwambia yule jamaa aliyempa mimba kuwa frans amekuja kutoka dar lakini tunapishana kauli, jamaa akachukua wenzie watatu jumla wannne wakaenda nyumbani kwa mwanamke, wakamkuta frans kalala kwenye kochi ndipo walipoanza kumporomoshea kichapo hadi akapatwa na mauti
Oooh kama ni hivi basi ni mbaya sana, mtoa post hakuelewa vizuri kasema alimkuta mchumba na mwanaume mwingine kumbe alimuitia police so sad

Sent from my HUAWEI GRA-UL00 using JamiiForums mobile app
 
daah wanawake wametofautiana kuna wawerevu na mashetani huyo dada atakuwa shetani na nafsi ya marehemu itamtesa kwakuwa amekufa na dukuduku

Tuletee kisa cha mwanamke mwerevu, tena vyema ya yule aliyetangulia mbele za haki.
 
hiii nikweri madame B. hata mimi huwa nawashauri hata wadogo zangu tafadhali muwe mnaonjaonja vitu hivi mgali na miaka ya sekondari. ukipita dry huku ujue huko ukubwani unajitafutia majanga. utaenda ukaburuzwe mpaka usahau una wazazi na ndugu zako. tena usiombe ukapenda kwa kahaba ambalo limeshakubuhuu. wewe unamihemuko ya mapenzi, lenyewe lina act movie ya love story. utakoma
Na ukikutana na mwanamke ana-act mapenzi, utasema wewe ndio umeibeba dunia yote.
Utapewa mahaba ambayo hujawahi kupewa tangu uzaliwe.
Ila akishapata anachotaka, anakuacha kama kiraka.
Wanaume wajiangalie sana aisee.
Hali mbaya sasa.
 
Hiki kifo kimeniuma sana, kijana na degree yake ya miamba, anaondoka bado mdogo kabisa, katika maisha emotinal intelligence ni kitu cha muhimu sana, ingawa ni ngumu pale angewakuta na akageuza zake na kuja tulia then angetafuta mwanamke mwingine. Yaani angejiambia it is not the end of the world, time heals, Life must go on no matter what.
Sio rahisi sana, hiyo emotional intelligence wamejaliwa wachache mno. Nimkute kidume kimejikunja kwa my love, ni ngumu kuamua kuondoka, but that's the right thing to do, basi tu ni ngumu kutekelezeka.
 
Kuna K ina hizo sifa zote ulizoainisha hapo? Na vipi wale wanawake wanaouana kisa D?



Sent from my SM-G955FD using JamiiForums mobile app
Takwimu na kesi nyingi sana ni zile za wanaume kujiua over K than wanawake kujiua over D.
Nadhani wanaume mna mihemko sana ilhali mwanamke akikupenda kakupenda
 
Ni muhimu sana kutoa taarifa unaootaka kwenda kumsalimia mpenzi/mchumba, hakuna sababu ya kushtukiza, hayo mambo tumuachie JPM.

Ukute huyo binti ni champion wa jf hasa MMU, I wonder how she feels now.
 
Hii habari ina twist kidogo kwa aliye ileta hakumfumania huyu mwanamke ila alimkuta ana Mimba alipokuwa mkali kwa mwanamke kutaka kujua imekuwaje mwanamke akakimbia kwa bwana ake huyo askari kuja jamaa akaja na wenzie wawili wakamsulubu hadi wakaondoka asubuhi akakutwa amekufa hata hao askari nadhan walidhan hakufa ndio maana wamekamatwa kirahisi na sasa hivi wapo ndani na huyo mwanamke..!Ngole nimesoma Nae na alikiwa mbavu sana askari mmoja asingeweza kumzingua kama inavyoelezwa hapo kwenye hiyo story...!.mleta post aifanyie uchunguzu na tayari mwili umshaagwa jana kuzikwa leo njombe.!

Sent from my D2502 using JamiiForums mobile app
 
rip roommate wangu ,niliacha shughuli zangu zote tangu siku ya kwanza ulipofariki nikafunga safari hadi mbagala kisimani kwa daud, juzi usiku nilikwenda airport kuupokea mwili wako toka mwanza jana nimekudress mwili wako pale temeke hospitali ,nashindwa hata kuendelea...... ila jaman kwanini sababu ya kifochake inapotoshwa potoshwa sana jamani roho inaniuma sana
We sijakuelewa kwa kweli

Sent from my H8501 using JamiiForums mobile app
 
iko hivibmwanamke ndio alimpigia mwanaume njoo mwanza unitembelee, mwanamke alikuwa anakaa peke yake licha ya kuwa na mimba, frans alifika asubuhi ya siku inayofuata maana mabus hulala njiani,, ndio akafikia nyumbani kwa mpenz wake akamkuta na mimba, sasa asubuhi ile wakati wanabishana yule msichana akatoka akaenda kumwambia yule jamaa aliyempa mimba kuwa frans amekuja kutoka dar lakini tunapishana kauli, jamaa akachukua wenzie watatu jumla wannne wakaenda nyumbani kwa mwanamke, wakamkuta frans kalala kwenye kochi ndipo walipoanza kumporomoshea kichapo hadi akapatwa na mauti
Nimeshangaa sana watu waliokua wakimlaumu Francis bila kuujua ukweli halisi wa jambo lenyewe. Kumbe mwanamke ndiye aliyemwita while she knew kwamba ana MIMBA ya mwanaume mwingine!? Si angebadiri tu namba ya simu na kuhama nyumba then mshikaji angejiongeza tu kwamba uchumba umekufa!!!!!!? Nafikiri mwanamke anatakiwa kuunganishwa kwenye hiyo case ya mauaji.
 
Back
Top Bottom