Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Ila bora kawahi kujua maana angelea mtoto wa mwanaume mwenzie
Ndio utaratibu wenu wadada ,maana tayari watu wa takwimu wanasema 57% ya wanaijitambulisha kuwa ni watoto wao sio wakwao ,wamesingiziwa.
Hatari sana hii.
 
Sorry, lakini lazima niseme tu ukweli... kupigana kisa k.. ni ushamba.

Sent from my SM-T355 using JamiiForums mobile app
Unachosema ni kweli, ila inategemea na mazingira, hv upo na mke wako ikatokea mtu kamzaba kofi mkeo utafanyaje, utanyamaza ? [ huo ni mfano tu]
 
Ila bora kawahi kujua maana angelea mtoto wa mwanaume mwenzie
Ndio wale wanaume wanaoambiwagwa na wakezao ,

"Unajisiifu,hivi kwenye familia yenu yoote kuna msomi hata mmoja ,kazi kusema mtotowangu mtotowangu huna hata haya"
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji117]
 
Wewe ni mjuvi wa mambo haya nini?. maana detail explanation hizi ni balaaaa. tuna jua wanaume wengi mitego hii huwa inawamaliza sana. Mungu niepushe nayo.
Wanaume waliobalekhe ukubwani ndio huwa mara nyingi wanababaika na vikolombwezo hivi.
Ila hawa waliobalekhea porini, wala hawashtushwi na mbwembwe za k mnato.
Mie nishashuhudia idadi kubwa ya wanaume wakichizika kisa K.
Unakutana na K inakuminya mpaka unatoa pesa kwenywe wallet bila kujijua.
 
Huyo mwanamke atumie busara tu ajirestishe in peace kwa hiari yake alicheza na maisha ya mwenzake
mkuu chukua chupa mbili za wine nitalipa
 

Attachments

  • IMG_20170712_152233.jpg
    IMG_20170712_152233.jpg
    217.8 KB · Views: 18
Poleni sana wafiwa.

KUNA MTU KASEMA TUISHI NA WANAWAKE KWA AKILI,SAWA.

MOJAWAPO WA AKILI YENYEWE NI HII HAPA

Sent from my SM-G7102 using JamiiForums mobile app
 
Na kwanini aje bila kutoa taarifa.
Mimi ni mwanamke nina hisia za kujamiiana kila siku hata kama nina ujauzito.
Mbona wengi tuko kwenye mahusiano na tuna-cheat kama kawaida!
Huyo kaka ni Tomaso....yamemkuta sasa.
Hahaa, hadi una cheat unatafuta nn hasa? An way naomba nije pm nna mazungumzo na ww kdgo [emoji4]

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Huyo hakuna cha kusemekana wala nini, huyo huenda alipata taarifa kuwa mchumba wake ana ujauzito wa mwanaume mwingine.
Akataka awe Tomaso, matokeo ndio kama hayo.

Lakini siwezi laumu sana...huwezi jua malengo na nadhiri zao walizowekeana.
Yeah alienda kumjua mume mwenzie ndio alichoambulia sasa

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Ndio utaratibu wenu wadada ,maana tayari watu wa takwimu wanasema 57% ya wanaijitambulisha kuwa ni watoto wao sio wakwao ,wamesingiziwa.
Hatari sana hii.
Yaani kuna mazingira yanatokea, huna budi kudanganya ili kusevu maisha yako na ya mwanao.
Wengi sana mnalea watoto wa wenzenu kutokana na aidha ukali wenu au kutokutujali
 
Hilo ndio tatizo la kuinvest Kwa hawa viumbe lazima ufe mapema au kupata presha Kwa karne hii

Sent from my VFD 301 using JamiiForums mobile app
Naona unatumia Smart Bomba

RIP F. Ngole hopefully ulikumbuka kusema "allah akbar"
 
Ndio wale wanaume wanaoambiwagwa na wakezao ,

"Unajisiifu,hivi kwenye familia yenu yoote kuna msomi hata mmoja ,kazi kusema mtotowangu mtotowangu huna hata haya"
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji117]
Swadakta.
Kumbe samtaim mnajua kujiongeza, ila mnasubiri mpaka pakuche eeeeee.
We ukiona wingu la mvua, andaa beseni mapema.
 
funzo ni kwamba usimshtukize mpenz wako ukomtembelea muarifu utaepuka mengi

Sent from my SM-A500FU using JamiiForums mobile app
 
Kamwe sipigani kwaajili ya mwanamke wala mapenzi cjui maana wanawake niwengi sana kuliko sisi wanaume hata kila mwanaume akichukua wanawake wanne bdo wengine watabakia so dem akizingua ajue kuna wenzake kama60 hv wanataka kuwa namm.

Sent from my K-KOOL using JamiiForums mobile app
 
Mwanamke na mwanaume walisababisha kifo kiama chao kitawakuta mda so mrefu

Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom