mlimilwa
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,268
- 3,439
Ndio utaratibu wenu wadada ,maana tayari watu wa takwimu wanasema 57% ya wanaijitambulisha kuwa ni watoto wao sio wakwao ,wamesingiziwa.Ila bora kawahi kujua maana angelea mtoto wa mwanaume mwenzie
Hatari sana hii.