Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

kama mimi ndo ndugu yangu huyu francis.. haki ya mungu muuaji angejuta sana ningemgeuza shoga sugu tena gesti zake makaburini..!!!!
Binadamu tunafana muonekano tu

Sent from my HUAWEI Y330-U11 using JamiiForums mobile app
 
Uzuri wa mtu uko ndani ya macho ya mtazamaji.
Huenda walishakula kiapo cha milele.
Ila ndo hivo, kazidiwa ujanja.

Mapenzi yana nguvu zaidi ya nuclear
madam siku hizi umekuwa mpole sana duu nimependa sana mawazo yako
 
Inasikitisha sana, huwa mwanamke ndio ibilisi mwenyewe

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Ibilisi zaidi ni mwanaume aliyeebda bila taarifa.
Kimsingi alipaswa atoe taarifa ya ujio wake.
Jirani tu unampigia simu kama yupo uende, sembuse Mwanza?
Huyo kayakanyaga mwenyewe
 
madam siku hizi umekuwa mpole sana duu nimependa sana mawazo yako
Hahahhah.....
Hapa najaribu kumtetea mwanamke mwenzangu, lazima nitumie busara.
Ila tukikutana engo zetu kule....balaaa
 
achana nae huyo
Mkuu Kuna Memberz Huwa Wananishangaza Sana Habari Iko Juu Na Imeandikwa Vizuri Tu Lakini Cha Ajabu Ameshindwa Kuielewa Na Anachangia Ujinga Ujinga Tu Wakati Watu Wote Wanahuzunika Kwa Tukio Lilotokea
 
Wazee wa zamani walikua wanatoa taarifa kabla hawajafika kwenye compound ya nyumbani kwake. Nyie mnajifanya surprise......
Sitapigana kwa ajili ya mwanamke....labda kufight kwa ajili ya ndoa yangu.
After all.....r.i.p

Sukari Yenu
 
Kama mtu humtaki si umwambie tu muachane kuliko kumfanyia ivyo mtoto wa mwanamke mwenzio. Wanawake muda mwingine tunajiona ni watu special sana kama mtu anakupenda sana.
Wanaume wana roho ndogo sana when they are in love. Tusiwanyanyase wakitupenda

Mrs Van
 
wenzako wanatumia point hiyo ya nafasi ya roho ndogo ya wanaume katika mapenzi ili kuwataperi na kuwaumiza
 
Ibilisi zaidi ni mwanaume aliyeebda bila taarifa.
Kimsingi alipaswa atoe taarifa ya ujio wake.
Jirani tu unampigia simu kama yupo uende, sembuse Mwanza?
Huyo kayakanyaga mwenyewe
Inasemekana alimkuta mwanamke ana mimba ya mtu mwingine, baada ya kumuhoji sana akamwita yule mwenye mzigo naye akaja na wenzie ndio wakaanza kumpa kichapo

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom