Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Akisepa,kwa mwanamke mwenye tabia za ujanjaujanja kama ww rubi utapata nafasi ya kuendelea kuwadanganya kutokana na tamaa za mwili na lambda kipato.chamsingi tunakaa pamoja kama wanaume na kwasababu umetudanganya tunakucharaza viko hadharani ili iwe Fundisho kwa wengine.


Dawa ni kuacha uzinzi.
 
Huyu jamaa atakua alikua anajua kuwa anamegewa alikua anaenda kuhakikisha ila labda hakuhisi kwamba unaweza kufumania mnyama
Jamaa unaongea ukweli sana.

senty from my Iphone 7 using jamii forum app
 
Tujifunze wanaume. Kutoa taarifa kuwa nakuja ni muhimumno mno. Pili, kama hutatoa taarifa, ukiyakuta ya kukuta kama Francis, fyata mkia, rudi kinyumenyume, kalale guest, asubuhi panda bus rudi darisalama salama salimini. Wanawake wapo wengiiii na huyo wa sasa utakaa naye kwa machale. Ukimuua uliyemfumania, utafungwa masela wajichapie mzigo kwa fujo, ukiuawa ka huyu Francis tutakuzika, masela hao hao wajichapie mzigo mwezi ujao tu.
Hakuna faida ya kugombania mwanamke. Lile tundu ni rima la kuzimu na pia njia ya kuzalishia wapya.
 
Naam Dada
Skia bana ifike mahali wanaume tusiaibishe uanaume wetu,wnaposema roho ya kiume wanamana kubeba mambo magumu,ifike mahali hii tabia ya kupigania mapenzi tuwaachie watoto,
Wapo watu wanawakuta wake zao walio zaa nao na kuwekeza mambo kibao wanachepukwa na mtu hapigani wala kuzozana anaongea kiutu uzima halafu anachukua mamuzi mengine,kupigana unajaza watu bure,halafu nguvu zenyewe zipo wapi zama hizi za chips kuku,
Onesha uanaume kwa kubeba mambo magumu,
Na ndo maana tunasema watoto tuachieni vichwa ngumu mapenzi,nyie tulieni nyumbani,maana mapenzi ya zama hizi ni pasua kichwa,asilimia kumi utamu asilimia tisini machungu,
Mtauawa bure,

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
Ushauri kuntu.

senty from my Iphone 7 using jamii forum app
 
Flora Mbasha aliudhihirishia ulimwengu wa kimapenzi tabia hasa za atokako nachelea kusema hata tabia za kabila lake...it means kila mwanamke wa huko lazima awe na mabwana wawili,mmoja wewe uliemuowa/unaetaka kumuowa wa pili wa kwao ili likizo fupi fupi akajivinjari nae.vijana mnaotafuta wake nendeni taratibu jifunzeni kutokana na matukio kama haya.

Sent from my HUAWEI Y625-U32 using JamiiForums mobile app
 
Hujatembea ukakutana na K mnato wewe.
K inakukaribisha kabla hujapiga hodi.
K ina vikolombwezo kibao
K inanukia alhudi, mjahidulu, mnatonato....
K inanawiwa shabu, inapanguswa kwa ufusho wa uturi waridi.
K inakuchekea
K imenona
K ina futa moja matata sana
Acha tu K iitwe K.

Ndio maana wanaume mnauana
[emoji23] [emoji23]

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
R.I.P. Francis

Sent from my CAT B15 using JamiiForums mobile app
 
Dawa ni kuacha uzinzi.
Lakin kwa maelezo mtoa taarifa ,huyo jamaa kaenda kumtembelea mchumba wake aliehamia huko kikazi,hebu jiulize kaacha michaluko yoote ya dar,anapoteza nauliyake kubuubwa kumbe anaemfuata ni Malaya.hata Mimi inaniuma sana hii.
 
Hata angekuwa mkeo taarifa mhimu utakuja kufa kwa presha r.i.p Francis Ngolle japo kifo umejitakia
Surprise haifai kabisa, hata kama ni mke wa ndoa, umesafiri ukamwacha nyumbani huku akijua kuwa utakaa siku tano lakini baada ya siku mbili unaahirisha na kurudi nyumbani, inatakiwa utoe taarifa mapema tena masaa ya kutosha, la sivyo eidha uue au uuliwe.
 
Inasikitisha sana, huwa mwanamke ndio ibilisi mwenyewe

Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
 
Lakin kwa maelezo mtoa taarifa ,huyo jamaa kaenda kumtembelea mchumba wake aliehamia huko kikazi,hebu jiulize kaacha michaluko yoote ya dar,anapoteza nauliyake kubuubwa kumbe anaemfuata ni Malaya.hata Mimi inaniuma sana hii.


Yeye huko Dar hapigi mambo?
 
Lakin kwa maelezo mtoa taarifa ,huyo jamaa kaenda kumtembelea mchumba wake aliehamia huko kikazi,hebu jiulize kaacha michaluko yoote ya dar,anapoteza nauliyake kubuubwa kumbe anaemfuata ni Malaya.hata Mimi inaniuma sana hii.
Uzuri wa mtu uko ndani ya macho ya mtazamaji.
Huenda walishakula kiapo cha milele.
Ila ndo hivo, kazidiwa ujanja.

Mapenzi yana nguvu zaidi ya nuclear
 
Back
Top Bottom