Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hali hiyo utaoa wangapi sasa. Wengine wanafanya hivyo kwa tamaa tu.Ukiona mwanamke wako ana mahusiano na mwanaume mwingine ni dalili ya kwamba amekudharau, ni kumuacha aendelee tu na wewe kuangalia ustaarabu wako. Kupigana na mwanaume mwenzako kwa ajili ya mwanamke anayekudharau ni upuuzi.
Siyo kisa k,upendo ,na siyo kujamiana kupenda ni ugonjwa mkubwa sana yalinikuta kama hayo ,ilibaki kdogo nimue MTU,toka hapo cjawahi penda mwanamke, japo Nina Mke nmeshamwambia sikupendi ila nitalidhika na heshima utakayonipa,kupenda kubaya sana pole sana marehemu
Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
Akisepa,kwa mwanamke mwenye tabia za ujanjaujanja kama ww rubi utapata nafasi ya kuendelea kuwadanganya kutokana na tamaa za mwili na lambda kipato.chamsingi tunakaa pamoja kama wanaume na kwasababu umetudanganya tunakucharaza viko hadharani ili iwe Fundisho kwa wengine.Ukae uulizane nini? yaani umemfumania mtu ukae nae muulizane itasaidia nini?
Ukimfumania mwanamke Sepa!
Tena sio mkeo ni mzinzi mwenzako?
Hata biblia ilisema aziniye na mwanamke hana akili kabisa.
Sasa hao wanazini na wanapigana
Naam DadaHiki kifo kimeniuma sana, kijana na degree yake ya miamba, anaondoka bado mdogo kabisa, katika maisha emotinal intelligence ni kitu cha muhimu sana, ingawa ni ngumu pale angewakuta na akageuza zake na kuja tulia then angetafuta mwanamke mwingine. Yaani angejiambia it is not the end of the world, time heals, Life must go on no matter what.
Ngolle Ndiye Mwenye Mke Sasa Ashtakiwe Nini Au Hujaelewa Habarikimsingi huyu ngole hata asingeuwawa bado angestahili kufikishwa mahakamani maana ame intrude privacy ya mtu na mpenzi wake.
Na cha ajabu hakuna atakaejifunza lolote kutokana na hili tukio.Pumzika kwa amani, jamani K acheni iitwe K
Ina uma sana kijana amepoteza maisha ghafla
Hujatembea ukakutana na K mnato wewe.Sorry, lakini lazima niseme tu ukweli... kupigana kisa k.. ni ushamba.
Usimuhusishe Yesu na changudoa huyo uliyeua kijana mwezetuso sad!vip huyo dada alihudhuria msibani!hapana kwakweli YESU arudi tu
iko hivibmwanamke ndio alimpigia mwanaume njoo mwanza unitembelee, mwanamke alikuwa anakaa peke yake licha ya kuwa na mimba, frans alifika asubuhi ya siku inayofuata maana mabus hulala njiani,, ndio akafikia nyumbani kwa mpenz wake akamkuta na mimba, sasa asubuhi ile wakati wanabishana yule msichana akatoka akaenda kumwambia yule jamaa aliyempa mimba kuwa frans amekuja kutoka dar lakini tunapishana kauli, jamaa akachukua wenzie watatu jumla wannne wakaenda nyumbani kwa mwanamke, wakamkuta frans kalala kwenye kochi ndipo walipoanza kumporomoshea kichapo hadi akapatwa na mautiUchumba wa kimila na kidini au wa kutifuana tu?
Usimuhusishe Yesu na changudoa huyo uliyeua kijana mwezetu
Sukumaland
Yaani Huyu Dada Kwanini Hakumuambia Mtu Wa Watu Mapema Kama Hamtaki So Sad Kwa Kwelisure ! hatakaa salama tena maishan mwake damu itamlilia had anaingia kaburini! kuna watu jaman wana roho kavuu!
Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990.
Huyu kijana namfahamu sana na tumewahi kukutana nae mara tatu mara ya kwanza nilikutana nae nyumbani kwao na mara mbili nikutana nae mtaani.
Juzi nilipata habari kuwa kijana mmoja kutoka maeneo ya mtaani kwetu ameuawa huko Mwanza alipoenda kumtebelea mchumba wake huko Mwanza akitokea Dar Es Salaam lakni kwa bahati mbaya alimkuta mchumba akiwa na mwanaume mwingine chumbani, Inasemekana huyo mwanaume aliyemkuta chumbani akiwa na mchumba wake ni askari kwahiyo mapambano yalianza ambapo mwanamke alikimbia na kuacha wanaume wakipigana.
Mwanamke aliporudi alikuta Francis Ngolle tayari amepoteza maisha ,Sasa haijulikani alipewa kipigo cha aina gani mpaka kusababisha kupoteza uhai .
Lakini cha kusikitisha sana mchumba wa Francis Ngolle mimi binafsi mfahamu sana na mara nyingi tumewahi kukutana kwenye kikundi chetu cha dini cha {VIWAWA] enzi hizo kabla ya huyu dada ajaenda kikazi mwanza lakini sikujua kabisa kama wana uchumba na FRANCIS NGOLLE.
Lakini cha kusikitisha zaidi Francis Ngolle na huyu mchumba wake hapa dar Es Salaam wanaishi karibu sana siyo mbali sana kwa lugha nyingine wanaishi karibu na mimi pia .
Francis Ngolle alikuwa tayari amejitamburisha kwa wazazi wa mchumba wake kwahiyo wazazi wa pande zote mbilli walikuwa wanatambua pia.
Kinachotia simanzi zaidi wazazi Francis Ngolle na Mchumba wake hapa Dar es Salaam wanaishi karibu,wanasali kanisa moja.
Francis Ngolle bila kujua kama anaenda kupoteza maisha anafunga safari kwenda kwa mchumba wake huko mwanza lakini anakuta mchumba wake ana bwana mwingine chumbani ,Mapambano yanaanza na mwisho wa siku anapoteza maisha.
Muda huu nimetoka msibani hakika ni majonzi makubwa sana nimejaribu kuangalia maiti yake wakati nikitoa heshima za mwisho inaonekana alipigwa sana,Utafikiri ni mtu aliyepata ajali mbaya.
R.I.P Francis Ngolle
-mikononyuma-
iko hivibmwanamke ndio alimpigia mwanaume njoo mwanza unitembelee, mwanamke alikuwa anakaa peke yake licha ya kuwa na mimba, frans alifika asubuhi ya siku inayofuata maana mabus hulala njiani,, ndio akafikia nyumbani kwa mpenz wake akamkuta na mimba, sasa asubuhi ile wakati wanabishana yule msichana akatoka akaenda kumwambia yule jamaa aliyempa mimba kuwa frans amekuja kutoka dar lakini tunapishana kauli, jamaa akachukua wenzie watatu jumla wannne wakaenda nyumbani kwa mwanamke, wakamkuta frans kalala kwenye kochi ndipo walipoanza kumporomoshea kichapo hadi akapatwa na mauti