Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daah!! Hao watu wanee wote walikuwa hapo chumbani kwa huyo bint wakila raha au huyo afande aliwaita ili waje wampige marehem?wamekamatwa walikuwa wanne wanampiga mtu mmoja
Na yeye huyo binti ni mchumba wake lakini!kimsingi huyu ngole hata asingeuwawa bado angestahili kufikishwa mahakamani maana ame intrude privacy ya mtu na mpenzi wake.
Ishibishe post yajo mkuu, Tujuze.kimsingi huyu ngole hata asingeuwawa bado angestahili kufikishwa mahakamani maana ame intrude privacy ya mtu na mpenzi wake.
Mshamba alie muua nwenzake au ote ,kama wanaume walitakiwa waulizane kwanza walipotokea,Pili waungane na wapambane na huyu mwanamke ikibidi wamchalaze viboko vya kutosha kisha waachane nae .Upumbavu wake!
Vifo vingine vya kujitakia.
Unapigana kisa K??
Tena K isiyo ya mkeo halali
Alazwe mahali anapostahili.Amen!
Je ni kweli hao wauaji ni askari??Wa jeshi gani??tena huyu mwanamke hana hata wasiwasi anaongea macho makavu kama hajasababisha kifo
Hajapigania.kapigwa.Hivi nitaanzaje kupigania mwanamke??
Hata mie nashangaaa mkuuhivi zama za kupigania mapenzi bado zipo kweli??
Mshamba alie muua nwenzake au ote ,kama wanaume walitakiwa waulizane kwanza walipotokea,Pili waungane na wapambane na huyu mwanamke ikibidi wamchalaze viboko vya kutosha kisha waachane nae .
HALAFU HAWA MAASKARI WALIO WENGI HAWATUMIAGIA AKILI KABISA,UNAKUTA KADEMU KANAMWAMBIA KUNAMTU KANITONGOZA,AU ANANICHOKOZA BILA YA KUHOJI YEYE ANAENDA KUPIGA MTU.
HUU NI UJINGA KABISA.
Inauma sana SURPRISE SIYO NZURI...Nawaza alijua anaenda home kwake maskini alikuwa amempangia labda..
A nafika pale anakutana na njemba linauliza we ni nani duh panic..
Maskin kapigwa kapoteza maisha kisa mwanamke asiyemwaminifu
SURPRISE SIYO NZURI...
Lala kwa amani.... nakumbuka wazee wa zamani akikaribia home anapiga chafya .. au mluzi au anakohoa .. sasa naelewa