Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Ndio maana mimi huwa napenda sana kuwahusia wavulana 'vijana wa kiume' kuwa, mwanamke uliyenaye sasa alishawahi kuwa na mtu kabla...au kwa lugha zao ni kuwa 'demu wako wa sasa ni ex wa mtu mwingine'...
Huwa hakuna guarantee ya mwanamke umuitaye demu, mchumba na wote wenye vyeo vya namna hiyo kwamba asikusaliti...
Kama aliweza kumuacha mwanaume mwingine kabla yako, ndivyo hivyo hivyo nawe waweza achika...
Kitendo cha kumkuta na mwanaume mwingine, lilikuwa ni jibu tosha la wao kuachana lakini sasa ujinga wa kutaka kuonesha misuli ndio umemponza...

Upumbavu wake!
Vifo vingine vya kujitakia.
Unapigana kisa K??
Tena K isiyo ya mkeo halali
Alazwe mahali anapostahili.Amen!