Hapa kuna la kujifunza,
1:usifanye mapenzi km kitu kikuuuubwa cha kujidai unpeeeeenda,inabidi tuishi kimapenzi km mbuzi vile,yani tuchukulie poa,ili ikitikea unamkuta mtu isikuume
2:hapana haja ya kupigana,hasa nyie vijana wa dar wazee wa chips kuku,unaanzaje kupigana wakati kupigana haujui?,ukivimbisha kakifua na tumbo kwa manyama uzembe unajiona unaweza kupigana,kupigana zama hizi ni ujuzi,sanaa na mbinu,
Sasa mtoto wa mama hauna ujuzi unajidai kukunja ngumi,
3:ifike mahali wanaume tuwe na roho za kiume,wanaume wengi suruali tu,uanaume ni spirit na moyo mpana,wanaita kifua cha kubeba magumu,
Umekuta hawara ama mkeo anafanya uzinifu chukulia poa achana nao kiroho safi,Fanya maamuzi mengine kumuacha ama kusamehe,tuache wivu wa kitoto,maana mwenza akichepuka hajabakwa lazima kuna sababu,sasa badala ya kushugulika na sababu unahangaika na mtu?
Na la zaidi watoto wadogo acheni ngono Hanna vifua vya kubeba changamoto,
Lkn kubwa zaidi tufute neno mpenzi vichwani,tuweke neno kwichi na kuzaa
Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app