Henge
JF-Expert Member
- May 14, 2009
- 6,933
- 1,511
poleni sana daah hawa wanawake ni shida kwakweli, hatabaki salama hakika.tena huyu mwanamke hana hata wasiwasi anaongea macho makavu kama hajasababisha kifo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
poleni sana daah hawa wanawake ni shida kwakweli, hatabaki salama hakika.tena huyu mwanamke hana hata wasiwasi anaongea macho makavu kama hajasababisha kifo
Si ndo yale ya kujifanya yeye ndo kidume na mmiliki halali!Yeye huko Dar hapigi mambo?
Binadamu tunafana muonekano tukama mimi ndo ndugu yangu huyu francis.. haki ya mungu muuaji angejuta sana ningemgeuza shoga sugu tena gesti zake makaburini..!!!!
madam siku hizi umekuwa mpole sana duu nimependa sana mawazo yakoUzuri wa mtu uko ndani ya macho ya mtazamaji.
Huenda walishakula kiapo cha milele.
Ila ndo hivo, kazidiwa ujanja.
Mapenzi yana nguvu zaidi ya nuclear
Ibilisi zaidi ni mwanaume aliyeebda bila taarifa.Inasikitisha sana, huwa mwanamke ndio ibilisi mwenyewe
Sent from my GT-N8000 using JamiiForums mobile app
Hahahhah.....madam siku hizi umekuwa mpole sana duu nimependa sana mawazo yako
Si ndo yale ya kujifanya yeye ndo kidume na mmiliki halali!
Anaenda muda na saa anayotaka.
Kiumbe mwanamke si wa kucheza nae
Mnajisifiia wenyewe,nawachuki kwelikweli.[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Yeye huko Dar hapigi mambo?
Mkuu Kuna Memberz Huwa Wananishangaza Sana Habari Iko Juu Na Imeandikwa Vizuri Tu Lakini Cha Ajabu Ameshindwa Kuielewa Na Anachangia Ujinga Ujinga Tu Wakati Watu Wote Wanahuzunika Kwa Tukio Lilotokeaachana nae huyo
Naona Umeamua Kumpenda Yesu Siku HiziDawa ni kuacha uzinzi.
habari.inahzunisha,,sasa kuna kesi yoyote au ndio ishapita hivo
rubii taratibu bibie.kumbuka kunamihemuko ya mapenzi na siyo wote wanaweza kuicotrolUchumba wa kimila na kidini au wa kutifuana tu?
Anaweza kushtakiwa kabisa ikigundulika ndio chanzo chq kifo cha marehemHivi kisheria mwanamke anaweza kushtakiwa?
wenzako wanatumia point hiyo ya nafasi ya roho ndogo ya wanaume katika mapenzi ili kuwataperi na kuwaumizaKama mtu humtaki si umwambie tu muachane kuliko kumfanyia ivyo mtoto wa mwanamke mwenzio. Wanawake muda mwingine tunajiona ni watu special sana kama mtu anakupenda sana.
Wanaume wana roho ndogo sana when they are in love. Tusiwanyanyase wakitupenda
Mrs Van
Inasemekana alimkuta mwanamke ana mimba ya mtu mwingine, baada ya kumuhoji sana akamwita yule mwenye mzigo naye akaja na wenzie ndio wakaanza kumpa kichapoIbilisi zaidi ni mwanaume aliyeebda bila taarifa.
Kimsingi alipaswa atoe taarifa ya ujio wake.
Jirani tu unampigia simu kama yupo uende, sembuse Mwanza?
Huyo kayakanyaga mwenyewe