Inauma sana; Mapenzi yaondoa uhai wa Francis Ngolle aliyezaliwa mwaka 1990

Ndio maana mimi huwa napenda sana kuwahusia wavulana 'vijana wa kiume' kuwa, mwanamke uliyenaye sasa alishawahi kuwa na mtu kabla...au kwa lugha zao ni kuwa 'demu wako wa sasa ni ex wa mtu mwingine'...

Huwa hakuna guarantee ya mwanamke umuitaye demu, mchumba na wote wenye vyeo vya namna hiyo kwamba asikusaliti...

Kama aliweza kumuacha mwanaume mwingine kabla yako, ndivyo hivyo hivyo nawe waweza achika...

Kitendo cha kumkuta na mwanaume mwingine, lilikuwa ni jibu tosha la wao kuachana lakini sasa ujinga wa kutaka kuonesha misuli ndio umemponza...


Upumbavu wake!
Vifo vingine vya kujitakia.
Unapigana kisa K??
Tena K isiyo ya mkeo halali
Alazwe mahali anapostahili.Amen!
 
Wahenga wanasema usimseme vibaya marehemu, lakini huyu jamaa alikuwa fala sana. Amewatia hasara na huzuni wazazi wake.
 
Rip
 
Aiseee, naomba kujua hatma ya huyu mwanamke ilikuaje?? nini kinaendelea juu yake?? daaaah nmeumia saana. nilikua najua ngole amefariki, niliona FB, Ila sikujua sababu iliyoleta mauti. na sikuweza hudhuria msiba sababu nilikua mbali saana. me nikawa nahisi huenda mati ilimkuta kwenye harakati za maisha. RIP Ngole, homebwoy.
 
Kwangu mwanamke hana ishu. Muuaji alikamatwa?
 
Pole Mkuu,tuishi nao kwa Akili!
 
POleni. Mimi kuna kitu Mungu alinijalia, na kusema kweli namshukuru Mungu. Maisha yangu yote kila nikidate na mdada alafu nikaona red flag, huwa sipambani. Nasogea zangu pembeni kiroho safi, haijalishi amekula hela zangu kiasi gani. Na nimejiapia hata kama ni mke wangu wa ndoa. Suluhu yangu ni kusepa. Period. Inaumiza sana na imeshatokea several times kabla sijaoa. Kuna mmoja alinifanyia vitimbi enzi hizo, mwamba nikasepa nakumbuka tulisex mara moja tuu baada ya hapo mambo yakawa siyo mambo. Kilichoniuma hapo nimetoka kumnunulia simu janja mpya, alikuwa hana smart phone. Niliwaza uhai wangu ni wa muhimu kuliko fedha. You know what? Baada ya miaka kadhaa alikuja kunitafuta mm nilishafuta namba yake sina. She was crying na kusema anajuta kwa kunipoteza. Aniliuliza kama kuna dua mbaya nimeifanya dhidi yake niseme maana anaishi kwa majuto haoni thamani ya mahusiano. Nikamwambia hakuna, ila yeye haamini. Hadi leo bado ananitafuta tuyajenge,mm nimekataa
 
I
 
daah wanawake wametofautiana kuna wawerevu na mashetani huyo dada atakuwa shetani na nafsi ya marehemu itamtesa kwakuwa amekufa na dukuduku
Sio shetani Wengi wanaingia katika mahusiano kwa sababu ya 1.Pesa 2. Umri kumuacha. Sasa huyo dada alijua kwa ngole Wenda atapata pesa ya kukizi Nahitaji Yote bahati mbaya zaidi Ukijua huyo ndio mkeo tarajali utafanya naye mambo ya msingi tu kama kununua kiwanja MILION kazaa kumpa pesa ya kula na mavazi utajikuta mfukoni unapungukiwa wakitokea WAHUNI WANAMCHAGULIA MKEO MAGAUNI MAWILI NA SHIVOLI MBILI ZA MITUMBA NA SIDILIA ANAMPA PENZI LOTE NA MUHUNI ANAMNYWEA VYAGRA MKEO ATAHISI AMEIONA PEPO KUMBE UPEPO......
tafuta pesa jijenge halafu mengine yatafuata
 
Dah miaka nane sasa toka kijana amekufa.

Duniani kuna mambo yanakanuni zake ukiziishi utaishi salama sana.
Hutakiwi kupigana eti umemfunania mpenzi wako.
Usiende nyumbani kwa mwanamke bila taarifa ikiwezekana usiende kabisa kwenye nyumba/chumba cha mwanamke kama wewe sio mtoa huduma(provider).

Hata kama unamhudumia mwanamama kiasi gani? Ukimfumania achana naye kama ukiendelea basi jimegee kisela tu tena lodge sio kwenye makazi yake.

Wanawake/ mama zetu uwezo wao wa kufikiri na kuamua mambo ni mdogo hata kama awe amesoma vipi au ana exposure kiasi gani hii ni automatic tu wameumbwa hivyo.
Sisi wanaume ndio tunapaswa kufikiri sana na kuamua vizuri kwa ajili yao, mwanamke ni kiumbe hatari sana kikiachiwa kuzagaazagaa na kuachwa kujiamulia mambo yake kwa Uhuru.
 
Unaenda vipi Bilal kumtaarifu kama unaenda kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…