masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,207
- 14,343
Kama ilivyo mwanamke wanasema hasomeshwiHehee slay queens wakisema mwanaume maskini akapendwe na mama yake tu. Wanakuja juu kuita KE gold diggers
MPOKEE YESU KRISTO ATAKUPA MTU WA KUFANANA NAWE ATAKAE KUFAA HAUTAANDIKA THREAD ZA KUUMIA TENA
Marriage requires patience, understanding, ability to bow out in argument and love.Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini
umeamua kumpenda na kumvumilia jinsi hali yake yamaisha ilivyo
mnavuka mabonde vichaka na milima kwa pamoja
dharau kejeli na maneno ya hovyo kutoka kwa ndugu kisa uliyenae hohehae
hata zile salamu kutoka kwa ndugu hakuna
unaamua kuziba masikio ukiamini ipo siku mungu atafungua milango kwa huyo ulie nae
shida inakuja mwanaume akisha jipata nyumban hapakaliki kutwa kiguu na njia na wanawake wengine mwisho wa siku anakuja kuoa mwanamke mwingine
je mwanaume wa namna hii utamfanya nin
kumshusha busha
kumtafutia wahuni wafanye yao au utamwacha aiende
ukiangalia kakupotezea muda inauma kwakweli
And.... As people fall into relationship before marriage, they spend a lot of time together and forget about getting along with each other...🤓My dear, mwachie Mungu. Mungu ndiye mwamuzi wa haki.
Hayo mengine achana nayo.
Mwambie aje kwangu na Mimi niinjike hili kichwa changu sitomfanya km hivyo kabisa,My dear, mwachie Mungu. Mungu ndiye mwamuzi wa haki.
Hayo mengine achana nayo.
Kabisa. Nina laki 1,mwanaume anatakiwa kuwa na 2 au zaidi. Tofauti na hapo ni wachache sana wana remain the same, wengi ni matukio tu kama ya mtoa mada.Kama ilivyo mwanamke wanasema hasomeshwi
Na mimi naona ni bora ajitafute na yeye kwanza
Dada kampotezeaje muda?? You are datin me for 3yrs, umenihold. Leo mwaka wa 4 unaenda kuoa mwingine. Unasemaje na mm nmeshiriki kukupotezea muda?Hapo kwenye kupotezewa muda ndio ntaenda kinyume nawewe.
Vipi wewe hujampotezea muda?
Wamepotezeana muda ndio jibu sahihi.Dada kampotezeaje muda?? You are datin me for 3yrs, umenihold. Leo mwaka wa 4 unaenda kuoa mwingine. Unasemaje na mm nmeshiriki kukupotezea muda?
Kwanza unaishije na mwanaume kabla hujaolewa?Unakuwa na mahusiano na mtu kipato cha chini