Mwamba wa Kifo
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 268
- 164
Ha ha ha haWenzenu CCM walipiga kampeni za shuka kwa shuka, kitanda kwa kitanda. Nyie mkabaki kupiga kampeni hapa JF ndio matunda hayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha ha haWenzenu CCM walipiga kampeni za shuka kwa shuka, kitanda kwa kitanda. Nyie mkabaki kupiga kampeni hapa JF ndio matunda hayo.
Umeandika ujinga sanaHakuna mahali au wakati wowote nimetoa hoja ya UCHAPA KAZI wa Magufuli bali wewe unakiri hivyo. Basi kweli ni mchapa kazi.
Wagombea walienguliwa kwa sababu hawakukidhi vigezo vya kuteuliwa ikizingatiwa wakiteuliwa na kuchaguliwa ni wawakilishi wa watu. Tumeshuhudia baadhi ya waliochaguliwa kuhama vyama. Na hata kama wangeruhusiwa kushiriki, kwa matokeo ya uchaguzi uliomalizika, yasingebadilika
Mawakala ambao hawakuwa na barua za utambulisho waliruhusiwa kuendelea na usimamizi wakisubiri barua za utambulisho. Lakini barua zilipoletwa zilikuwa za watu tofauti kabisa, ikabidi watimuliwe. Kumbe Mawakala halisi walisusa kwa kuahidiwa malipo baada ya uchaguzi.
Hata kama pasingekuwepo na mawakala bado mchakato wa kupiga na kuhesabu kura ulikuwa wa wazi kabisa. Kama ulishiriki kupiga kura utakuwa shahidi. Isitoshe siyo wote wa Tume, walioshiriki katika mchakato wana mapenzi na CCM. Ungekuwa mchambuzi makini ungewauliza baadhi wa wasimamizi au wasaidizi wa baadhi ya vituo kupata ukweli.
TUJIFUNZE KUTAFUTA UKWELI ILI KUONDOKANA na HISIA OVU
Mliambiwa mkakataa! Kwamba ifikapo 2020, vyama vya upinzani kalasi - kufia mbali! Mkadanganywa na wahuni waliokuwa wanamfatilia Lissu kwenye mikutano yake wakipiga kelele! Na sisi tulihudhuria mikutano hiyo yote, tukisikiliza matusi tu (hatukusikia sera yoyote). Tarehe 28/10/20 tukaamua.CCM wameamua kukomba kila kitu.
Aliekuambia kuwa ni wote tunaona hakuna demokrasia ni nani?Hili siyo la upinzani ni la watanzania wote sababu faida ya demokrasia ni kwa watanzania wote sasa inatoweka na watanzania wenzetu wanatumika kuondoa mfumo wa vyama vingi na kuingiza mfumo wa chama kimoja kibabe
Kama ulikuwa ndani ya chumba cha kura na ukashuhudia kura zinaibiwa usichukue hatua yoyote, hukufaa kuwepo hapo. Na kama ulilipwa kwa kazi hiyo nenda katubu na kurudisha malipo hayo.Umeandika ujinga sana
tuulize sisi tuliokuwa ndani ya vyumba vya kura
hakukuwa na uchaguzi kweli
ulikuwa uhuni tuu
ww bwabwaja kwakuwa huna ulijualo
Ingekuwa hatua zinachukulika kirahisi hivyo wizi usingetokeaKama ulikuwa ndani ya chumba cha kura na ukashuhudia kura zinaibiwa usichukue hatua yoyote, hukufaa kuwepo hapo. Na kama ulilipwa kwa kazi hiyo nenda katubu na kurudisha malipo hayo.
mkuu una roho ngumu kweli, hadi unasikiliza kabisa. sijui unatafuta niniYaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.
Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna demokrasia😡😡😡
Tuendelee tu kukamilisha ratiba.
Iambie roho isitoke. Itulie tuliiiiii..... Maisha yanaendelea hata baada ya uchaguziYaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.
Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna demokrasia😡😡😡
Tuendelee tu kukamilisha ratiba.
Watanzania tumeamua kuwa hatutaki tena upinzani. Wewe umeona wapi mwakilishi wako anakwenda bungeni kulumbana tu na kuleta vimbwenga ila maendeleo hapeleki jimboni kwake? Yaani mtu anaona ujiko kukamatwa na kufungwa huku akichekelea kuandikwa mitandaoni, si uhuni huu? Wapinzani waliopita walikuwa very useless, hakuna hata mmoja aliyestahili kuwa kiongozi.Yaani nasikiliza matokeo hapa nahisi kama roho inataka kutoka.
Chama chochote cha upinzani kupata hata kiti kimoja bungeni ni ndoto labda iwe kwa kuridhisha tu wanananchi kuwa kuna demokrasia😡😡😡
Tuendelee tu kukamilisha ratiba.
Sio CCM, watu wameamua kufutilia mbali wapinga maendeleoCCM wameamua kukomba kila kitu.
Wapi u;likuwa, wewe unatudanganya tu hapaUmeandika ujinga sana
tuulize sisi tuliokuwa ndani ya vyumba vya kura
hakukuwa na uchaguzi kweli
ulikuwa uhuni tuu
ww bwabwaja kwakuwa huna ulijualo