Na walaaniwe kabisaKiukweli wezi ni.wa ajabu sana wanarudishana nyuma.
Walawahi kuniibia nguo zote nyumbani kwangu nikabakiwa na nilizovaa tu.
Mimi nikikamata mwizi ni kukata mkono au kuchoma moto.
Ukiwapeleka polisi wanarudi kuleta madhara zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yawezekana mkuu, ila waliiba hata ule wazamani ambao ulikua umepangwaKosa lako ulishindwa kuugawanya mzigo wako mafungu mafungu ili usipotee wote
Ahsante sana, yaani usipokua makini unaweza kufanya maumuzi mabaya, unahisi kukata tamaa kabisa.Unabaki unatetemeka kwa hasira. Ukifikiria maisha mapya ya kubangaiza unayokuja kuyaanza ,ukifikiria njaa itakayokuja kukupata. Ukiwa na issue ya kufanya unaona mjini kuna kazi nyingi sana uwezi lala njaa.Poteza sasa ndo utaona ugumu wa kupata hata kibarua cha kukupa hela ya kulaPole sana sana, naelewa unachisema na kukiptia Mwezi wa nane tarehe 15 walinifanyia ukatili huo, waliniibia Laptop na simu mbili, wala simu sio tatizo lakini Laptop ilikua na DOCUMENTS muhimu sana snaa, miongoni mwa documents hizo ni Consultancy ambayo nilikua nimeshamaliza Inception Report, Desk Review na nilikua namalizia kuandaa tools kwa ajili ya data collection. Kinachoniuma ni kwamba hizi ndio deliverable zinazonifanya nilipwe, yaani una/submit unalipwa per deliverable....nilitamani dunia isimame. Yaani nadaiwa kazi ya watu na sina hata pa kuanzia tena......Pole sana sana
Namaanisha ilitakiwa uhifadhi vyumba tofautiYawezekana mkuu, ila waliiba hata ule wazamani ambao ulikua umepangwa
Sent using Jamii Forums mobile app
OK, sawa mkuu nimekuelewa kweli nilikoseaNamaanisha ilitakiwa uhifadhi vyumba tofauti
Yes, sema ningumu sana mkuu ukiangalia jinsi nilipoupata mtaji sielewi nawezaje kufanikisha tena nikiwa sina dhamana ya kueleweka
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwa nachukua maduka tofauti tofauti kwa kuwa bidhaa nimchanganyiko na kuangalia bei pia kwa siku husikaHukuwah tengeneza mahusiano na hao uliokuwa unanunua mizigo kwao au wew unanunua kila duka tu
WAKUU,Pole sana kaka , kikubwa ni kujipanga upya kama upo kwako nikupe wazo la kutengeneza mtaji , tafuta mayai ya kienyeji kama .....30 ambayo yatakugharimu kama sh 15000/- tu baada ya hapo nitagute nikueleze namna rahic yabkutengeneza incubator ya kutotoresha mayai hayo bila gharama kubwa baada ya hapo utaanza na vifaranga 30 , ukiwapa vyakula pamoja na booster ya kukua haraka ....ukiwauza unapata mtaji wa kukurudisha kwenye ramani
Sent using i phone x
Uza hizo till uanze tena.Mkuu hata Mimi najilaumu, nimebakia na mitill(line) hapa naiangalia na kupata hasira
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukrani mkuu kwa wazo lako, nitajaribu kufanya hivyo japo siku hizi kupata wateja wa till imekuwa issue