Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

Inauma sana, wezi walaaniwe. Wamenirudisha nyuma sana

Pole sana sana, naelewa unachisema na kukiptia Mwezi wa nane tarehe 15 walinifanyia ukatili huo, waliniibia Laptop na simu mbili, wala simu sio tatizo lakini Laptop ilikua na DOCUMENTS muhimu sana snaa, miongoni mwa documents hizo ni Consultancy ambayo nilikua nimeshamaliza Inception Report, Desk Review na nilikua namalizia kuandaa tools kwa ajili ya data collection. Kinachoniuma ni kwamba hizi ndio deliverable zinazonifanya nilipwe, yaani una/submit unalipwa per deliverable....nilitamani dunia isimame. Yaani nadaiwa kazi ya watu na sina hata pa kuanzia tena......Pole sana sana
Ahsante sana, yaani usipokua makini unaweza kufanya maumuzi mabaya, unahisi kukata tamaa kabisa.Unabaki unatetemeka kwa hasira. Ukifikiria maisha mapya ya kubangaiza unayokuja kuyaanza ,ukifikiria njaa itakayokuja kukupata. Ukiwa na issue ya kufanya unaona mjini kuna kazi nyingi sana uwezi lala njaa.Poteza sasa ndo utaona ugumu wa kupata hata kibarua cha kukupa hela ya kula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana kaka , kikubwa ni kujipanga upya kama upo kwako nikupe wazo la kutengeneza mtaji , tafuta mayai ya kienyeji kama .....30 ambayo yatakugharimu kama sh 15000/- tu baada ya hapo nitagute nikueleze namna rahic yabkutengeneza incubator ya kutotoresha mayai hayo bila gharama kubwa baada ya hapo utaanza na vifaranga 30 , ukiwapa vyakula pamoja na booster ya kukua haraka ....ukiwauza unapata mtaji wa kukurudisha kwenye ramani

Sent using i phone x
WAKUU,

HUYU ANATAKA KUITUMIA HII FURSA YA MWENZIYE KUPATA MADHILA YA KUIBIWA ILI AMUUZIE INKYUBETA YA KUTOTOLESHEA VIFARANGA!!!!

AISEE,
HII NCHI HII!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nishapiga mwizi hadi akakata moto tena alifia kituoni kuna afande mmoja mlevi alitolea macho k-vant akashindwa kuandikisha maelezo haraka hadi mwizi akafa maana alkua ashapigwa balaa tukapewa kesi ya mauji ilihali walimbeba akiwa mzima tena anaongea,tukalazwa selo kesho ndo wakatuachia....

mi hadi leo nikikumbana na mwizi lazima achezee sana vitu alivoiba nashukuru vilipatikana tv samsung flat 42,projector na mizinga ya pombe kali,nyingine walikunywa pale pale
 
Back
Top Bottom