Inauma Sana

Inauma Sana

Gily Gru

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2016
Posts
8,632
Reaction score
23,673
Habari wana JF
Unakuta umepiga usafi heavy gheto, umepika misosi ya kibabe, umejaza vitu kwenye jokofu, umetandika shuka jipya, umevaa boksa ya maangamizi, umepiga pasi nguo kwa dobi, umelipia king’amuzi full package, umenyoa vuziii umepiga kipara,.....................hivi vitu gani vingine huwa tunafanya kujiandaa na show vile

Likikuta jambo kama hili huwa unafanya nini? Utachukua maamuzi gani, utampotezea au utaendelea kumfukuzia mpaka ujenge heshima. .
 
Attachments

  • VID-20211230-WA0000.mp4
    1.6 MB
Achana na vitoto vya sekondari, utakuja kufungwa miaka 30 utoke umezeeka hata meno hauna!

Hangaika na mishangazi ya rika lako. Ukilipigia simu lije gheto, hata chupi halivai. Sasa endelea kuhangaika na wanafunzi kiroboto wewe!
Yaani mademu wanaokuja gheto bila kuvaa chupi wananipaga raha sana
 
Achana na vitoto vya sekondari, utakuja kufungwa miaka 30 utoke umezeeka hata meno hauna!

Hangaika na mishangazi ya rika lako. Ukilipigia simu lije gheto, hata chupi halivai. Sasa endelea kuhangaika na wanafunzi kiroboto wewe!
Kiroboto ni pole pole nitake radhi
Hahaha mie nina mke na mtoto mmoja sheikh, wanafunzi na mimi wapi na wapi
Mie nachukia sana wanapovaa jeans sina shida na chupi, chupi unaitoboa tu
 
Ni ujinga na utoto kufanya hayo yote eti kisa mwanamke amekuambia atakuja kwako.

Jipende kila siku mkuu sio unajipenda siku mwanamke akitaka kuja.
Hakuna jambo unapenda kufanya ukijua demu anakuja
Ukiachana na mambo ya usafi
Hata kama hufanyi wewe nina uhakika kabisa kuna jambo unapenda demu afanye kama anakuja kwako
 
Si bora hata huyo unaweza kuamua kuchana nguo zake kwenye purukushani hadi akaona bora aachie. Mbaya ni asipokuja
 
Duh wa mitandaoni hao hatari
Ndio hao hao unaowaona mtaani wala usibabaike kaka. Cha msingi kule wee hela yako na condom zako zakumwaga. Kama hivi leo unatulia kwenye gheto lako unaperuz unawaita wawili wanakuja unakaribisha mwaka mpya na bonge moja la threesome
 
Habari wana JF
Unakuta umepiga usafi heavy gheto, umepika misosi ya kibabe, umejaza vitu kwenye jokofu, umetandika shuka jipya, umevaa boksa ya maangamizi, umepiga pasi nguo kwa dobi, umelipia king’amuzi full package, umenyoa vuziii umepiga kipara,.....................hivi vitu gani vingine huwa tunafanya kujiandaa na show vile

Likikuta jambo kama hili huwa unafanya nini? Utachukua maamuzi gani, utampotezea au utaendelea kumfukuzia mpaka ujenge heshima. .
Hutakiwi kufeli hapo mkuu.... Usithubutu feli aisee.
 
Achana na vitoto vya sekondari, utakuja kufungwa miaka 30 utoke umezeeka hata meno hauna!

Hangaika na mishangazi ya rika lako. Ukilipigia simu lije gheto, hata chupi halivai. Sasa endelea kuhangaika na wanafunzi kiroboto wewe!
Daaah eti mishangazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom