FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
-
- #21
Aisee inauma sana, hilo bwawa ilitakiwa lijazwe tangu november kwa maelezo ya Kalemani. Limekuja hilo minyuzi na para lake anatuambia eti crane la tani 26 halipo, na hasemi watajaza lini, yaani ni siri, what the f@ck??!Wana maslahi yao nyuma ya pazia sidhani kama crane la 26T ni issue.. Nna uncle wangu yupo pale MANTRUCK wana crane mpaka la 100T sasa what is 26T? Hujuma tu wanatufanyia mkuu...
Tatizo la hawa jamaa wanaojifanya 'eti' wana hati miliki ya nchi hii ni kwamba, wanafahamu nguvu ya pesa waliyo nayo inawabeba kufanya lolote.nakwambieni ukweli, mtu atakayekwamisha mradi huu, historia itamhukumu yeye na watoto wake na vizazi vyake vyote.
Inauma sanaTatizo la hawa jamaa wanaojifanya 'eti' wana hati miliki ya nchi hii ni kwamba, wanafahamu nguvu ya pesa waliyo nayo inawabeba kufanya lolote.
Na wanafahamu kutokana na upuuzi wowote wanaofanya basi Mungu atawapa free live card residential in heaven sababu pesa yao inanguvu hata kwa viongozi wa kidini.
Binafsi nataka Katiba yenye nguvu ya kuwaAdabisha viongozi wanapofanya uhuni kwa nchi yetu, vinginevyo kwa katiba hii ni ngumu kuwaepuka.
Wamekopa Trillion 7 wameenda kuijengs Znz eti, badala kununua hilo crane la tani 26Sikuwa mfuasi kindaki wa mwendazake. Ila huu mradi wa Nyerere huwa unaniuma sana. Naomba Mungu ukamilishwe jamani[emoji24][emoji24]
Yaani wakti mwingine naonaga kuongozwa na jinsia nyingne ni shida tupu. Kwa hiyo kapeleka hela nyumbani kwao?Wamekopa Trillion 7 wameenda kuijengs Znz eti, badala kununua hilo crane la tani 26
Asilimia kubwa imeenda huko, analipiza walivyofanya kule ChatoYaani wakti mwingine naonaga kuongozwa na jinsia nyingne ni shida tupu. Kwa hiyo kapeleka hela nyumbani kwao?
Mkuu nadhani hujui katika miradi yote ambayo niliona magufuli alifanya ni huo wa Nyerere. Yaani roho hapa inakereketa tena na wewe unavonambia eti hela zimepanda maji ya nungwi. [emoji24][emoji24][emoji24]Asilimia kubwa imeenda huko, analipiza walivyofanya kule Chato