Inaumiza sana kuona mradi wa bwawa la Nyerere unahujumiwa wazi wazi

Inaumiza sana kuona mradi wa bwawa la Nyerere unahujumiwa wazi wazi

Wana maslahi yao nyuma ya pazia sidhani kama crane la 26T ni issue.. Nna uncle wangu yupo pale MANTRUCK wana crane mpaka la 100T sasa what is 26T? Hujuma tu wanatufanyia mkuu...
Aisee inauma sana, hilo bwawa ilitakiwa lijazwe tangu november kwa maelezo ya Kalemani. Limekuja hilo minyuzi na para lake anatuambia eti crane la tani 26 halipo, na hasemi watajaza lini, yaani ni siri, what the f@ck??!
 
nakwambieni ukweli, mtu atakayekwamisha mradi huu, historia itamhukumu yeye na watoto wake na vizazi vyake vyote.
Tatizo la hawa jamaa wanaojifanya 'eti' wana hati miliki ya nchi hii ni kwamba, wanafahamu nguvu ya pesa waliyo nayo inawabeba kufanya lolote.

Na wanafahamu kutokana na upuuzi wowote wanaofanya basi Mungu atawapa free live card residential in heaven sababu pesa yao inanguvu hata kwa viongozi wa kidini.

Binafsi nataka Katiba yenye nguvu ya kuwaAdabisha viongozi wanapofanya uhuni kwa nchi yetu, vinginevyo kwa katiba hii ni ngumu kuwaepuka.
 
Inauma sana
 
Sikuwa mfuasi kindaki wa mwendazake. Ila huu mradi wa Nyerere huwa unaniuma sana. Naomba Mungu ukamilishwe jamani[emoji24][emoji24]
 
Asilimia kubwa imeenda huko, analipiza walivyofanya kule Chato
Mkuu nadhani hujui katika miradi yote ambayo niliona magufuli alifanya ni huo wa Nyerere. Yaani roho hapa inakereketa tena na wewe unavonambia eti hela zimepanda maji ya nungwi. [emoji24][emoji24][emoji24]

Dah aishie tu 25 tu jamani. Tumuweke mwenye ndevu
 
Ndiyo maana tramp anataka tutawaliwe upya, hatujitambui tunataka nini. Hatujui tutaondokaje hapa tulipo bla2 tu!
 
Trillion 10 ndani ya miezi 9 zilizokopwa, ni kiasi gani zimeenda kwenye miradi ya kimkakati kama hii?
 
Mtu anauliza ujenzi wa bwawa unakamilika lini, anaanza kuketa sarakasi, useless

Back
Top Bottom