Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Asante. NEC wakiweka fitina kwa Lissu, tunamuunga mkono Membe hata kwa super glue. Lazima kila mmoja achukue form ili tujue uhuni wao.Nafikiri bado mazungumzo yanaendelea na ni vizuri kila mgombea akachukua fomu yake lakini bado yawezekana akajiondoa na kumunga mkono mgombea wa chama mshirika. Na ndivyo itakavyokuwa, msihofu.
Sio rahis.Nafikiri bado mazungumzo yanaendelea na ni vizuri kila mgombea akachukua fomu yake lakini bado yawezekana akajiondoa na kumunga mkono mgombea wa chama mshirika. Na ndivyo itakavyokuwa, msihofu.
Membe keshachukua fomu, NEC watamuweka kwenye karatasi ya kuraNafikiri bado mazungumzo yanaendelea na ni vizuri kila mgombea akachukua fomu yake lakini bado yawezekana akajiondoa na kumunga mkono mgombea wa chama mshirika. Na ndivyo itakavyokuwa, msihofu.
Hapo sawa. Kwanamna yeyote ile sawa ila sio kwa kura za Watanzania waliotishwa unyonge kwa miaka 5.Sio rahis.
Magufuli atashinda urais kwa namna yoyote ile
Nyie angaikeni tu
Ccm itawatawala watanzania hadi itakapochoka yenyeweHapo sawa. Kwanamna yeyote ile sawa ila sio kwa kura za Watanzania waliotishwa unyonge kwa miaka 5.
Mkuu hilo linawezekanajeHawa jamaa walipaswa kumuweka Membe kama mgombea Mwenza na Lissu Rais....Kampeni zisingeshikika