Uchaguzi 2020 Inavyoonesha CHADEMA na ACT-Wazalendo hawataungana. Nini kimekwamisha?

Uchaguzi 2020 Inavyoonesha CHADEMA na ACT-Wazalendo hawataungana. Nini kimekwamisha?

Wote wanachukua form
Baada ya kupitishwa na NEC ndio Ushirikiano unaanza
Unataka wasichukue form achukue mmoja halafu NECCM ifanye uhuni wa Kumuengua
CCM ni wazee wa figisu.
Kama wotewatarejeshafomu majina yao yatakuwa kwenye karatasi ya kura hata kama mmmoja atajitoa.
 
CHADEMA Ni matapeli Fulani halafu huwa wanaona Kila mtu mjinga.

Mbowe Ni mbinafsi mno.

Wanachotaka kufanya Ni saws na CHAUMA waseme wanajitoa kugombea ili Magufuli ashinde.

Ujinga mtupu.
Akili yako haina tofauti na ya Dr Shika
 
Rais ni Magufuli, wengine wanasafisha nyota na kuongezea wasifu!! [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Katiba haijasema mgombea mwenza kutoka Zanzibar, wametukaririsha tu! Kama vile akitoka Mkatoliki Rais anayefuata Muislamu, je hii nayo ni katiba? Hebu nitajie Makamu wote wa Rais wa Tanzania tangu Uhuru
Acha ubishi usiokuwa na maana,kikatiba unacho shauri haliwezekani,achana na mambo ya rais akiwa muislam anaefuta ni mkristo
 
Back
Top Bottom