Inaweza kukugharimu kiasi gani kujenga Ghorofa kama hili?

Inaweza kukugharimu kiasi gani kujenga Ghorofa kama hili?

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Mzuka wanajamvi.

Naomba kuuliza ghorofa kama hili kujenga hadi kulimaliza linagharimu shilingi ngapi?

Natanguliza shukrani zangu za dhati.

20231212_163922.jpg


Cc mrangi Sky Eclat Pdidy dy Mr Q Mzee Kigogo
 
Unauliza au unamuulizia mtu?
Mkuu na uliza sitaki kukurupuka hela ninayotarajia ikitulia kimiani. Niko kwenye harakati ya kufanya tafiti za real estate. Kila mawazo na data napokea na changanua. Hadi natafiti kwenye visiwa vya st kits and navis, Aruba na Antigua na Barbuda.

Kuna uwezekano wa kukamata hela ndefu sana.
 
Ela za kuosha sufuria zimetosha kujenga ghorofa?
Hahaha. Huko huko kwenye kuosha masufuria na kusafisha mikundu ya wazee unakutana vibibi matajiri kichizi wanakupenda na wanakutoa. Tatizo vinamasharti kichizi lazima usafiri nao wajue kwenu.

Sasa dah unapiga picha huko na mbibi 65 yrss wewe kijana mdogo unaongozana naye kitaa bongo mmeshikana mkono asee ni ngumu.

Lakini kwasababu unataka kutoka unapretend hivyo hivyo. Hela ikishaingia kwenye account unamkacha na kuwaendea kina mwamvua, airinii na mwajuma
 
Back
Top Bottom