- Thread starter
- #21
Mkuu kwanini umebadilisha avatar picha yako tuliokuzoea?Siku hizi anaosha na masahani pia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwanini umebadilisha avatar picha yako tuliokuzoea?Siku hizi anaosha na masahani pia.
Wazungu siku hizi siyo watoaji wa hovyo kama zamani..inflation imewanyooshaHahaha. Huko huko kwenye kuosha masufuria na kusafisha mikundu ya wazee unakutana vibibi matajiri kichizi wanakupenda na wanakutoa. Tatizo vinamasharti kichizi lazima usafiri nao wajue kwenu. Sasa dah unapiga picha huko na mbibi 65 yrss wewe kijana mdogo unaongozana naye kitaa bongo mmeshikana mkono asee ni ngumu. Lakini kwasababu unataka kutoka unapretend hivyo hivyo. Hela ikishaingia kwenye account unamkacha na kuwaendea kina mwamvua, airinii na mwajuma
Ungeweka ramani hapa tukupe project cost mbabaMzuka wanajamvi.
Naomba kuuliza ghorofa kama hili kujenga hadi kulimaliza linagharimu shilingi ngapi...
Nipo na wanangu wa Gaza,freedom fighters against Zionist occupation.Mkuu kwanini umebadilisha avatar picha yako tuliokuzoea?
Maghayo mwenye uwezo wa kujenga hizo 20 kwa 900 m hawezi kutaka ushauri kutoka kwa Isanga Family sema unataka kujenga ila unauliza uliza usije ukapewa makadilio makubwa na mafundi wetu.Mkuu si unaangalia tu na kukadiria. Mwamba hapo juu anadai 900 million. Kama ni kweli nina uwezo wa kujenga kama hizo 20.
We hiyo unafikiri ni ndogo sana eeeeh?Oya hii ni chai! 900m na chenji ibaki?
Ingekuwa hivyo Kila mtu angejenga hata golofa moja mtaani
Sikiliza mdogo wangu.Mkuu na uliza sitaki kukurupuka hela ninayotarajia ikitulia kimiani. Niko kwenye harakati ya kufanya tafiti za real estate. Kila mawazo na data napokea na changanua. Hadi natafiti kwenye visiwa vya st kits and navis, Aruba na Antigua na Barbuda.
Kuna uwezekano wa kukamata hela ndefu sana.
MKuu mjengo huo umevuka level ya mafundi..Maghayo mwenye uwezo wa kujenga hizo 20 kwa 900 m hawezi kutaka ushauri kutoka kwa Isanga Family sema unataka kujenga ila unauliza uliza usije ukapewa makadilio makubwa na mafundi wetu.
Ujenzi unategemea unataka kujenga Mkoa gani na eneo gani maana kinachoongeza gharama au kupunguza ni upatikanaji wa Material mpaka site basi daslm wapo wachina wanauza Zege kwa kiwango bora kabisa mnakadiriana harafu wanakuja kumwaga mzigo mafundi wako watahangaika na ujenzi wa Tofali na mambo mengine sio Zege...
Ukiipata hiyo pesa mpe The Icebreaker asimamie ujenzi.....nyie watu mnaelewana sana.Mkuu kwanini umebadilisha avatar picha yako tuliokuzoea?
GT am overwhelmed with gratitude for your comment. Thanks so much.Sikiliza mdogo wangu.
Umwuliza swali linaelewa hewani hayupo atakqyekupa jibu.
Yeyote atakayekupa makadirio ni muongo kwa sababu hii hapq;
1. Katika kukadiria majenzi ma QS ( QUANTITY SURVEYORS)
huwa wana muongozo maalum wa kukokotoa gharama za ujenzi yaani kutengeneza BOQ.
2. Miongozo hiyo hutegenea
-residential house
-hospitals
-schools
-Godowns buildings
Katika qina hizi za majengo kila aina ya jengo lina bei ya muongo au elekezi (wastani wa gharama)
Mfano tu:
1. Hospital =1,000,000/m²
2. Godown=800,000/m²
3. Residential hse=1,300,000/m²
Kwa hiyo unachotakiwa kufanya ni kuwa na michoro kuanzia G floor, 1 floor hadi ya mwisho.
IKiwa G floor ina upana 10m na urefu 15m=10x15x1,300,000=195,000,000.
Hii ni thamani ya floor, then unazidisha mara idadi ya fllor zako.
Note: kwa wale wa kukurupuka huu ni wastani tu ambapo gharama yaweza kushuka kidogo au kupanda lakini ni makadirio ya wastani.
Mwisho; huu ni mfano tu namna ya kupata gharama, hivyo namba zaweza zisiwe sahihi
Asee likija swala humanity ordinary Gaza residents needs urgent help. The problem is HAMAS.Nipo na wanangu wa Gaza,freedom fighters against Zionist occupation.
Dah ndefu sana
Wapo wapo unaweza waotea. Hawa vipenshena ni kuwatoa tu hela ya kula kama 300 usd. Ukiwa nao kama wa tano hivi unaweza kunja 1500 kwa mwezi siyo mbaya huku ukiongezea zako za kuosha vyombo.Wazungu siku hizi siyo watoaji wa hovyo kama zamani..inflation imewanyoosha
Asante mkuu kwa comment.Bilioni 3 hivi kwenda juu
Ni gharama sana kujenga Ghorofa
Ramani tu na vibali inaweza kukutoka milioni 10
350mMzuka wanajamvi.
Naomba kuuliza ghorofa kama hili kujenga hadi kulimaliza linagharimu shilingi ngapi?
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
View attachment 2840724
Cc mrangi Sky Eclat Pdidy dy Mr Q Mzee Kigogo
Myebusi tatizo wengi watakaokujibu hapa hawajawahi hata kujenga banda la Kuku, kwa hiyo expect kuingizwa chaka.Mzuka wanajamvi.
Naomba kuuliza ghorofa kama hili kujenga hadi kulimaliza linagharimu shilingi ngapi?
Natanguliza shukrani zangu za dhati.
View attachment 2840724
Cc mrangi Sky Eclat Pdidy dy Mr Q Mzee Kigogo