Inaweza kukugharimu kiasi gani kujenga Ghorofa kama hili?

Inaweza kukugharimu kiasi gani kujenga Ghorofa kama hili?

Mkaldayo nasubiri crypto izidi kuchanganya. Kuna coin nilinunuaga 2021 ilikuwa 0.00000000046 nilinunua na 5000 usd trillion of cryptos sasa imeshakata zero mbili sasa hivi ni 0.000000069. yani udollar millionaire nauona kwa macho hivihivi.

Ntafanya massive investments ya hatarii wee subiri. Ikikata zero zingine 2 God forbid
Nasemajeeee!? Hii Bull run lazima watuite Freemason au Drug dealers
 
Asante mkuu. Ila naomba kuuliza binance inaweza kufa baada ya boss wake kulazimishwa kujiuzulu. Tusije tukapote financial fortune kizembe hivihivi kama FTX ya SBF
Hapana, na wachampa kazi CEO mpya. Binance inachukiwa tu ila haiwezi kufa kama FTX. Binance itakufa kwa kupigwa Ban maana inaonekana kuingilia sana financial institutions za nchi mbalimbali kutokana na huduma zake rafiki za kifedha. Mfano saivi ni rahisi kutuma pesa zaidi ya mara 50 kwa kutumia binance kuliko hayo sijui ma western union yao, saivi binance tunanunua hadi local airtime za simu, sasa mambo kama haya yanakuwa tishio kwa taasisi za kinyonyaji zinazopata back up ya serikali.
 
Asante sana mkaldayo kwa haya maelezo. Nimejifunza mambo mageni.
 
Fundi Maiko nipo hapa.
Niko freshi tu, kama unavyoona, tufanya kazi.....

1702472155292.png

1702472183898.png

1702472207650.png
 
Back
Top Bottom