Inaweza kukugharimu kiasi gani kujenga Ghorofa kama hili?

Inaweza kukugharimu kiasi gani kujenga Ghorofa kama hili?

Inabidi nikutafute mwakani mkuu. Kuna hela flani hivi ndefu balaa ninaweza kupata uwezekano mkubwa wa kupata hupo nataka kuinvest kwenye real estate itll be massive investment na kutoa ajira.
aah aah ghorofa haijengwi Kwa pesa ya kusikilizia....

mara ya kwanza naona ghorofa ya jiran yangu inajengwa nilichanganyikiwa saana mikuchu ilivyokua inapotea.... naenda now maduka ya ujenzi ananunua vitu vya million 300 vinamalizika ndani ya siku 3 tu ..... aisee

ujenzi ni nyoko.

tulibeba nondo mm16 Lori zima
 
Myebusi tatizo wengi watakaokujibu hapa hawajawahi hata kujenga banda la Kuku, kwa hiyo expect kuingizwa chaka.
Mkaldayo nasubiri crypto izidi kuchanganya. Kuna coin nilinunuaga 2021 ilikuwa 0.00000000046 nilinunua na 5000 usd trillion of cryptos sasa imeshakata zero mbili sasa hivi ni 0.000000069. yani udollar millionaire nauona kwa macho hivihivi.

Ntafanya massive investments ya hatarii wee subiri. Ikikata zero zingine 2 God forbid
 
Hahaha crypto imedoda sana but niliwahi kupiga 8,000$ wakati niliweka 200$.

Waliosubiria hadi leo hawajauza😂
 
Hahaha crypto imedoda sana but niliwahi kupiga 8,000$ wakati niliweka 200$.

Waliosubiria hadi leo hawajauza😂
Mkuu ndio imedoda ila kwenye hii coin hata nikiamua kutoa sasa hivi hivi vijumba uchwara vya chanika na chamazi naweza kuvinunua kwa mafungu.

Ikikata zero zingine 2 Denmark nitakuwa nakuja nakuondoka
 
Siyo bajet naijuwa mkuu. Nikiangaliaga kupatana na befoward realesate website viapartment room mbili tu 250 k usd ije iwe hiyo ghorofa niliyoaweka picha?

Mkuu kuna hela ndefu hiko njiani
900 millions inajenga hilo Ghorofa Mkuu!
 
Back
Top Bottom