Inaweza kukugharimu kiasi gani kujenga Ghorofa kama hili?

Nasemajeeee!? Hii Bull run lazima watuite Freemason au Drug dealers
 
Asante mkuu. Ila naomba kuuliza binance inaweza kufa baada ya boss wake kulazimishwa kujiuzulu. Tusije tukapote financial fortune kizembe hivihivi kama FTX ya SBF
Hapana, na wachampa kazi CEO mpya. Binance inachukiwa tu ila haiwezi kufa kama FTX. Binance itakufa kwa kupigwa Ban maana inaonekana kuingilia sana financial institutions za nchi mbalimbali kutokana na huduma zake rafiki za kifedha. Mfano saivi ni rahisi kutuma pesa zaidi ya mara 50 kwa kutumia binance kuliko hayo sijui ma western union yao, saivi binance tunanunua hadi local airtime za simu, sasa mambo kama haya yanakuwa tishio kwa taasisi za kinyonyaji zinazopata back up ya serikali.
 
Asante sana mkaldayo kwa haya maelezo. Nimejifunza mambo mageni.
 
Mkuu si unaangalia tu na kukadiria. Mwamba hapo juu anadai 900 million. Kama ni kweli nina uwezo wa kujenga kama hizo 20.

[emoji23][emoji23][emoji23] Mxxiewwww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…