DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Nilichogundua kukaa kimya ndo akili za kitajiri maana huwezi muomba pesa au kumdhuru kirahisi mtu ambaye huna background yake ya kipato Kama anacho au Hana
Sisi masikini %kubwa tunapenda kujionesha tuna pesa na mwisho wa siku inatugharimu pesa nyingi Hadi uhai
Nimefatilia visa vingi vya mauaji huko vijijini na mijini chanzo ni wivu tu hasa walimu wanauana kwa vitu vidogo Sana ambavyo ni wivu tu wa Maisha .
Naona ni Bora kukaa kimya Mtu aendelee kukuhisi kuwa wewe ni Jambazi au usalama wa Taifa kuliko kukuletea mauji baada kujua unamzidi
Elimu
Pesa
Mafanikio , na una mke mcha Mungu na watoto wazuri wanaosoma Feza