Mr Slim JF-Expert Member Joined Sep 11, 2018 Posts 2,652 Reaction score 5,242 Jan 31, 2024 #21 Huko Mwanza Makonda anapaweza cuz RAIA wa huko inawezekana kuongea nao. Akienda Mbeya huko, atakutana na wananchi kwa style ya mikutano yake atapata shida sana.
Huko Mwanza Makonda anapaweza cuz RAIA wa huko inawezekana kuongea nao. Akienda Mbeya huko, atakutana na wananchi kwa style ya mikutano yake atapata shida sana.
Lambardi Platinum Member Joined Feb 7, 2008 Posts 18,813 Reaction score 21,830 Jan 31, 2024 #22 Mwanza tuna jambo.letu sip watoto kutuletea mapoyoyo eti kutusahaulisha......tunalo jambo letu
Mambotele Member Joined Feb 11, 2018 Posts 10 Reaction score 1 Feb 3, 2024 #23 Huo ni ulongo...Samia alkua kusini ziarani mwaka jana.