Inawezekana CCM ina hofu kidogo kuhusu mkoa wa Mwanza?

Inawezekana CCM ina hofu kidogo kuhusu mkoa wa Mwanza?

Huko Mwanza Makonda anapaweza cuz RAIA wa huko inawezekana kuongea nao.
Akienda Mbeya huko, atakutana na wananchi kwa style ya mikutano yake atapata shida sana.
 
Mwanza tuna jambo.letu sip watoto kutuletea mapoyoyo eti kutusahaulisha......tunalo jambo letu
 
Back
Top Bottom