Cvez
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 4,405
- 13,411
Naam ila ukweli mnaujuaNa kwa kukosa kwako akili majira hii ya utandawazi ukaona utuwekee ujinga wako hapa?
Huko Lumumba mmechanganyikiwasasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam ila ukweli mnaujuaNa kwa kukosa kwako akili majira hii ya utandawazi ukaona utuwekee ujinga wako hapa?
Huko Lumumba mmechanganyikiwasasa
Ujinga ni kujitoa kushirki kutoa maoni alafu ripoti ikifika unakuwa wa kwanza kutoa maoni juu ya maoni waliyotoa wengine, kwa neno moja huo unaitwa upuuziUjinga n nn ni pale wana ccm wanapojadiliana chadema imekufa, haina ushawish tena wala mvuto yan wanaijadili kwa maskitiko kwmb why inakufa...
Kama nilivyokufikishia ujumbe wa upumbavu uliopostUjumbe umefika
Ndio tunaujua kuwa CCM ni wafu bila kutumia dola hamuwezi kituNaam ila ukweli mnaujua
Kushiriki kutoa maoni ya kuvunja katiba kwa kulazimisha kutengeneza kanuni kinyume na katiba inayoruhusu mikutano ya vyama vya siasa.Ujinga ni kujitoa kushirki kutoa maoni alafu ripoti ikifika unakuwa wa kwanza kutoa maoni juu ya maoni waliyotoa wengine, kwa neno moja huo unaitwa upuuzi
Poa Mkuu tuishiNdio tunaujua kuwa CCM ni wafu bila kutumia dola hamuwezi kitu
Hoja zenu za kichawi zimeisha?Poa Mkuu tuishi
Kwmb chadema wamekuwa wa kwanza kutoa maoni juu ya kile kikund cha ccm kiitwacho kikosi kazi? Hivi afya ya akili yako iko vema kweli aisee, unataka kutuaminisha yale mambo yaliyoletwa na kikosi kaz serikali inayongozwa na majiz ya taifa hli ccm wakiamua kuyafanyia kaz yataathiri taifa zima au hayataathiri?Ujinga ni kujitoa kushirki kutoa maoni alafu ripoti ikifika unakuwa wa kwanza kutoa maoni juu ya maoni waliyotoa wengine, kwa neno moja huo unaitwa upuuzi
Na wewe unaona una kitu unachokijua zaidi ya chadema? Mirembe kuna wazima wagonjwa tuko nao jfNakubaliana na andiko, chadema ni hakuna wanachojua.
Ilaa mwandishi namsahihisha, kikosi kazi hakipo juu ya katiba. Kusema wana mapendekezo mazuri ikiwemo matokeo ya uraisi kupingwa mahakamani ni ujinga, kwa kuwa katiba hairuhusu.
Tatizo la CDM mtu yoyote atakae kua na mawazo tofauti na nyie aidha awe ndani ya Chama au nje ya Chama kitu cha kwanza mnamuita Lumumba.Hoja zenu za kichawi zimeisha?
Kwani Tanzania tuna mwandishi wa habari? Kila mmoja anaweza akaandika. Ni sawa na yule kijna wa ITV alikuwa anecheza na waoto wa chekechea, leo eti ni mtangazaji/mwandishi...nadhani unamjuaAnaweza akawa mwandishi mkongwe
Uandishi wa Zito akiteteaz kazi ya kikosi kazi!nani kaandika tumjibu
Utakupingwa kwa nguvu zote kama unasema 1+1=1 katika normal/natural mathematics. sasa Chadema haiwezi kukubali ujinga kama huo katika politics za Tanzania. Watakao kubali ni hao vyama 14/15(maana hata idadi haijulikani) na ACT, not Chadema. Nitakupa mifano.Tatizo la CDM mtu yoyote atakae kua na mawazo tofauti na nyie aidha awe ndani ya Chama au nje ya Chama kitu cha kwanza mnamuita Lumumba.
Ingekua ni Cult au kikundi cha dini tungewaelewa ila kam ni Chama cha kidemokrasia lazima mawazo yapishane. Hoja hazijaisha ila haina maana kujadili hoja ambazo hazipata muafaka.
Nakuelewa katika hilo but unfortunately ukianza kuuliza kitu tofauti na msimamo wa CDM hasahasa vijana immediately unakua labeled ni Lumumba.Utakupingwa kwa nguvu zote kama unasema 1+1=1 katika normal/natural mathematics. sasa Chadema haiwezi kukubali ujinga kama huo katika politics za Tanzania. Watakao kubali ni hao vyama 14/15(maana hata idadi haijulikani) na ACT, not Chadema. Nitakupa mifano.......
Utakuwa labeled kama Lumumba ukikubali kwa mfano kuwa bunge la sasa ambalo 99.999% ni CCM (walioingia kwa kuteuliwa na magufuli) lisimamie kupiga kura na kujadili rasimu ya Mkandara. Msikilize Mnyika katika press conference yake, mwenye akili na utashi wa demokrasi ataungana naye!Nakuelewa katika hilo but unfortunately ukianza kuuliza kitu tofauti na msimamo wa CDM hasahasa vijana immediately unakua labeled ni Lumumba.