Itasemwa hela ya Sherehe ambayo haikufanyika itaziba pengo...majibu hayakosekani!kwenye dressing room. Namna
Wana Mtaji wa 98% haiwasumbui. Wanajisikiaje sijui.KUna siku serikali ndio itaimiza watu waje barabarani.
Sasa wakisema tena siku nyengine ya maandamano pia itafinyika kama jana? Hiyo haileti maana ya kuwadhibiti.Mtaweweseka sana nyau nyie.
Serikali ya Tanzania iko imara haiwezi kutetereka kirahisi hivyo.
Tumewadhibiti mnaweweseka tu
Tungoje hiyo mechi ianze huenda maswali yako yakapata jibu.Na mechi bado haijaanza. Mpira ndo umeletwa kati, timu zimemaliza kuimba nyimbo za taifa, wachezaji wanajaribu kupeana mawaiza na kupiga picha za ukumbusho.
Anangoja wakati wa kuanza arejee. Tujitayarishe ili tusichelewe. Jee nawe utakuwemo uwanjani au utatumia simu kutoa maelezo ukiwa nje ya uwanja? Muda utaongea.Namuona kapteni wa hii timu ya mboga mboga, Bi Samuya amevua jezi na anarudi kwenye dressing room.
Tuache na upumbavu wetu...wewe na wengine akina Larry madowo na mange na hilda nendeni mkalale pale nje ikuluVijana Wapumbavu na wahuni wahuni ndio uishi kwa “mishe”.
Umesema jambo kubwa sana. Kuna post niliwahi kuituma zamani kidogo nimeitafuta bado sijaiona. Nilisema kuna siku watu wataombwa kwenda kupiga kura na watakataa.Kuna siku serikali ndio itaimiza watu waje barabarani.