Inawezekana hii mimba ikawa yangu?

Melancholic

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
3,076
Reaction score
5,483
Wanangu hivi mdada ambae unadate nae japo sio mara nyingi na wala amuishi pamoja akikwambia ana ujauzito wako huwa mnachukua hatua gani.

NOTE: huyu mdada mara ya mwisho nimesex nae mwezi wa kwanza sikutumia kinga haswa haswa jana kanitumia vipimo kwa njia ya watsapp anasema tayari ana ujauzito wangu wa mwezi mmoja ila pia sijaamini kama kweli huo ujauzito ni wangu maana atuishi pamoja so vp hapa nichukue hatua gani kwa wajuzi wa haya mambo kingine mimi sikatai ujauzito but sipendi kulea mimba isiyo yangu
 
Mpeleke kwa Mwamposa, huenda amerogwa
 
Kwahiyo unataka kutuelezea kuwa wewe unatembelea rim...
 
Ulipomkojolea 'ndani' ulidhani mbegu hazileti mimba?
Mimba inaingia kwa kuishi pamoja au kumkojolea mwanamke 'ndan'i?? Mkiambiwa mwage nje hamtaki, tumie kinga hamtaki. Subiri kulea
CC Amehlo
 
Hizo nyege ulizotoa zilikuwa mfu?
Kwani mimba inatungwa mkiwa mnaishi pamoja pekee?
 
Kwa sasa kwanza hakiki kwa vipimo ku-confirm mimba kama ipo kweli (UPT), but hakuna njia ya kujua kama hiyo mimba ni yako au la, subiri akizaliwa mtoto mtapima vinasaba (DNA paternity test)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…