Inawezekana hii mimba ikawa yangu?

Inawezekana hii mimba ikawa yangu?

Wanangu hivi mdada ambae unadate nae japo sio mara nyingi na wala amuishi pamoja akikwambia ana ujauzito wako huwa mnachukua hatua gani.

NOTE: huyu mdada mara ya mwisho nimedate nae mwezi wa kwanza sikutumia kinga haswa haswa jana kanitumia vipimo kwa njia ya watsapp anasema tayari ana ujauzito wangu wa mwezi mmoja ila pia sijaamini kama kweli huo ujauzito ni wangu maana atuishi pamoja so vp hapa nichukue hatua gani kwa wajuzi wa haya mambo kingine mimi sikatai ujauzito but sipendi kulea mimba isiyo yangu
Ni kweli hamuishi pamoja, uaminifu wake ukoje? hapo hoja ni uaminifu je ulikuwa unamuamini au ulikuwa naye kwenye mahusiano ukijua ni chakula cha wana A.K.A jamvi? maana kuishi naye ndani haikupi uhakika wa uaminifu wake, na uaminifu haupokei kwa umbali au ukaribu aliyemwaminifu akiwa mbali atakuwa hivyo hata akiwa karibu atakuwa hivyo, asiyemwaminifu ndio wale mtoto wa kwanza wa kwako, wa pili ni wa Juma na unaishi naye ndani
 
Ishu ni uaminifu tu
 
Ku date ndio kufanya mapenzi kumbe?
Nawashangaaga sana wamatumbi wenzangu🤣 wanaotumia vibaya haka kamesemo ka ku date.

Dating ni meeting ya faragha ili kufahamiana kwa jinsia mbili pinzani involves eating, drinking na kustorika. Hii ni kwa mujibu wa waasisi toka huko nchi za magharibi.

Ila kwa wamatumbi wao kupunguza makali ya tendo la umalaya na kupigana mikasi wanatumia neno dating kuashiria mizagamuano😂!
 
Oya mwana fanya hivi jiridhishe kwanza kama hiyo mimba Ina muda huo,Kisha fanya mahesabu tu ya mzunguko wake ulikoma lini, baada ya hapo jakiki mwisho wenu WA kikutana ilikuwa tarehe ngapi utapata jibu kama ni yako ama umevishwa
 
Sawa mkuu nutazingatia
 
Kwa hiyo wewe huna maamuzi kila kitu akiamua yeye wewe unafata tu?
Nilikuwa nakaza but kilichonifanya namimi kuacha kutumia ni sababu ya ndom kupasuka kati kati ya tendo kila wakati by the way hv ukishapata ujauzito inawezekana tena kuingia kwenye siku zako baada ya wiki kadhaa mbele??
 
Wanangu hivi mdada ambae unadate nae japo sio mara nyingi na wala amuishi pamoja akikwambia ana ujauzito wako huwa mnachukua hatua gani.

NOTE: huyu mdada mara ya mwisho nimesex nae mwezi wa kwanza sikutumia kinga haswa haswa jana kanitumia vipimo kwa njia ya watsapp anasema tayari ana ujauzito wangu wa mwezi mmoja ila pia sijaamini kama kweli huo ujauzito ni wangu maana atuishi pamoja so vp hapa nichukue hatua gani kwa wajuzi wa haya mambo kingine mimi sikatai ujauzito but sipendi kulea mimba isiyo yangu
Mimi ni mtaalamu wa utambuzi, niruhusu nije kuliona tumbo lako kama lina mimba.
 
Nawashangaaga sana wamatumbi wenzangu🤣 wanaotumia vibaya haka kamesemo ka ku date.

Dating ni meeting ya faragha ili kufahamiana kwa jinsia mbili pinzani involves eating, drinking na kustorika. Hii ni kwa mujibu wa waasisi toka huko nchi za magharibi.

Ila kwa wamatumbi wao kupunguza makali ya tendo la umalaya na kupigana mikasi wanatumia neno dating kuashiria mizagamuano😂!
Ukisikia kwamba nime date naye mara mbili
Unajiuliza how😂😂😂😂😂???
Au mtu anakuambia anaomba mdate wewe unadhani anaomba muwe karibu mfahamiane kumbe mwenzako anamaanisha kupigana miti.
 
Back
Top Bottom