Inawezekana hii mimba ikawa yangu?

Inawezekana hii mimba ikawa yangu?

Nilikuwa nakaza but kilichonifanya namimi kuacha kutumia ni sababu ya ndom kupasuka kati kati ya tendo kila wakati by the way hv ukishapata ujauzito inawezekana tena kuingia kwenye siku zako baada ya wiki kadhaa mbele??
Ninachojua kuona damu wakati wa ujauzito ni ishara ya hatari, aende hospitali haraka.
 
Hapo nimekuelewa mkuu
Hudumia mkuu, achana na shauri za tofauti na hapo, akizaliwa ndio mkafanye DNA(kama utawiwa kufanya hivi) akiwa wako fresh asipokuwa wako fresh, ndio uwanaume huo (kama huna uwezo wa kuhudumia labda ila kama upo hudumia tu, pesa zenyewe za kuhudumia mimba shilling ngapi bhana?)

ViDNA venyewe vya kisasa havina hata madhara, akiamua kukuzunguka mtoto atakua wako hata baada ya vipimo, DNA nzuri ni ile ya kimila(haijawahi kula rushwa hiyo😅😅😅)
 
Wanangu hivi mdada ambae unadate nae japo sio mara nyingi na wala amuishi pamoja akikwambia ana ujauzito wako huwa mnachukua hatua gani.

NOTE: huyu mdada mara ya mwisho nimesex nae mwezi wa kwanza sikutumia kinga haswa haswa jana kanitumia vipimo kwa njia ya watsapp anasema tayari ana ujauzito wangu wa mwezi mmoja ila pia sijaamini kama kweli huo ujauzito ni wangu maana atuishi pamoja so vp hapa nichukue hatua gani kwa wajuzi wa haya mambo kingine mimi sikatai ujauzito but sipendi kulea mimba isiyo yangu
Si bora wewe hujatumia kinga, mimi nilituma kinga imara, na hazikuharibika, naletewa mimba. ila kwa inavyoonyesha kwa mujibu wa maelezo yako, hiyo mimba ni yako, usikimbie majukumu.
 
Vijana tuelewe kwamba suala la kuleta kiumbe kipya duniani sio suala la jepesi kama tunavyofikiria, ni suala ambalo utatakiwa kufanya maandalizi na upembuzi wa mambo mengi vile vile mnatakiwa kukubaliana wote kwa pamoja. Namuona single mother mwingine anaingia mtaani
 
Wanangu hivi mdada ambae unadate nae japo sio mara nyingi na wala amuishi pamoja akikwambia ana ujauzito wako huwa mnachukua hatua gani.

NOTE: huyu mdada mara ya mwisho nimesex nae mwezi wa kwanza sikutumia kinga haswa haswa jana kanitumia vipimo kwa njia ya watsapp anasema tayari ana ujauzito wangu wa mwezi mmoja ila pia sijaamini kama kweli huo ujauzito ni wangu maana atuishi pamoja so vp hapa nichukue hatua gani kwa wajuzi wa haya mambo kingine mimi sikatai ujauzito but sipendi kulea mimba isiyo yangu
Kama umebeba wewe hiyo mimba ni yako. Kama hujabeba wewe mwache mwenye nayo atakujulisha. Muwe mnaangalia siku zenu mkiwa period.
 
Hudumia mkuu, achana na shauri za tofauti na hapo, akizaliwa ndio mkafanye DNA(kama utawiwa kufanya hivi) akiwa wako fresh asipokuwa wako fresh, ndio uwanaume huo (kama huna uwezo wa kuhudumia labda ila kama upo hudumia tu, pesa zenyewe za kuhudumia mimba shilling ngapi bhana?)

ViDNA venyewe vya kisasa havina hata madhara, akiamua kukuzunguka mtoto atakua wako hata baada ya vipimo, DNA nzuri ni ile ya kimila(haijawahi kula rushwa hiyo😅😅😅)
Hiyo ya kimila ndio naitaka mimi
 
Wanangu hivi mdada ambae unadate nae japo sio mara nyingi na wala amuishi pamoja akikwambia ana ujauzito wako huwa mnachukua hatua gani.

NOTE: huyu mdada mara ya mwisho nimesex nae mwezi wa kwanza sikutumia kinga haswa haswa jana kanitumia vipimo kwa njia ya watsapp anasema tayari ana ujauzito wangu wa mwezi mmoja ila pia sijaamini kama kweli huo ujauzito ni wangu maana atuishi pamoja so vp hapa nichukue hatua gani kwa wajuzi wa haya mambo kingine mimi sikatai ujauzito but sipendi kulea mimba isiyo yangu

Lea mimba, hata Kama know uongo, then unajiteteaje na wewe umelala naye?
 
Si bora wewe hujatumia kinga, mimi nilituma kinga imara, na hazikuharibika, naletewa mimba. ila kwa inavyoonyesha kwa mujibu wa maelezo yako, hiyo mimba ni yako, usikimbie majukumu.
😁😁😁😁 wala sina mpango wa kukimbia majukumu mkuu
 
Back
Top Bottom