Melancholic
JF-Expert Member
- Oct 12, 2018
- 3,076
- 5,483
- Thread starter
- #101
Sina hata 1Una watoto wangapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sina hata 1Una watoto wangapo
😅😅😅 umejuajeHongera sana baba kijacho, wewe hakika ni shapu shuta. Anza sasa, baba, kutuma matumizi kwa kuwa hiyo mimba ni yako pasi na shaka yaani, 100% ni yako.
Mpo mbali sana na huyo mwenzako? Inawezekana mimba ni yako kweli mkuuSina hata 1
26Una umri gani?
Mimba ni yako
Hapana c mbali kiivyo but katika wanawake wanaonipenda bac ni huyu simuhongi wala nini simu sipigi lakini yeye awez lala bila kunicheki kila siku japo mimi muda cmpi coz simpendi nilivutiwa na chura tu halafu na mbaya zaidi tako lake ni kubwa mno kiac cha kuleta taharuki barabarani pale mnapokuwa pamoja so hii point inanifanya nimkimbieMpo mbali sana na huyo mwenzako? Inawezekana mimba ni yako kweli mkuu
Kwanini useme hivyo😁Mimba ni yako
Kwani mimba huwa inalelewaje mkuu😅😅Lea mimba Wacha kutaka kukimbia majukumu
Uwezi kujua chakufanya hudumia mimba mpaka ajifungue akishajifungua ukajua mtoto si wako jinyongeKwenye hayo magojwa mengine ayupo ishu ipo kwenye mimba ntajuaje kama kweli ni yangu nisije nikafanywa kama yule mwamba alie lea ujauzito ambao sio wake mwisho wa siku mwamba akajiuwa
Tafsiri ya vijana wa hovyo hiyoKu date ndio kufanya mapenzi kumbe?
Mimba inahudumiwaje mkuu😁Uwezi kujua chakufanya hudumia mimba mpaka ajifungue akishajifungua ukajua mtoto si wako jinyonge
Mkuu kama hukutumia kinga moja ya matokeo ni pamoja na mimba. Lea tu maana si dhambiHapana c mbali kiivyo but katika wanawake wanaonipenda bac ni huyu simuhongi wala nini simu sipigi lakini yeye awez lala bila kunicheki kila siku japo mimi muda cmpi coz simpendi nilivutiwa na chura tu halafu na mbaya zaidi tako lake ni kubwa mno kiac cha kuleta taharuki barabarani pale mnapokuwa pamoja so hii point inanifanya nimkimbie
Kwa sababu kwa umri wako una uwezo wa kumpa mwanamke mimba ikiwa huna tatizo katika mfumo wa uzaziKwanini useme hivyo😁
Inalelewaje mkuu😁Mkuu kama hukutumia kinga moja ya matokeo ni pamoja na mimba. Lea tu maana si dhambi
KUMBE HUJUI MBAYA ZAIDI HAPO, SIYO NGOMA..Usipotumia kinga kuwa tayari kwa lolote. Mimba, magonjwa ya zinaa, hepatitis B na mbaya zaidi Ngoma.
Mtego huo 🖐️🖐️Wanangu hivi mdada ambae unadate nae japo sio mara nyingi na wala amuishi pamoja akikwambia ana ujauzito wako huwa mnachukua hatua gani.
NOTE: huyu mdada mara ya mwisho nimesex nae mwezi wa kwanza sikutumia kinga haswa haswa jana kanitumia vipimo kwa njia ya watsapp anasema tayari ana ujauzito wangu wa mwezi mmoja ila pia sijaamini kama kweli huo ujauzito ni wangu maana atuishi pamoja so vp hapa nichukue hatua gani kwa wajuzi wa haya mambo kingine mimi sikatai ujauzito but sipendi kulea mimba isiyo yangu
Daaah😁Hapo anza kutoa matunzo ya mimba angalau laki 2 kwa mwezi ili mpaka September upate mtoto mwenye afya njema.....ukipiga kavukavu habari ya mimba sio kitu cha kushangaza zaidi ya kukubali hakuna kwamba hauishi nae maana mimba sio kupanda maharage hata ukichomeka tu kwa wale wazee one minute kitu kinatunga