Inawezekana hii mimba ikawa yangu?

Inawezekana hii mimba ikawa yangu?

Wanangu hivi mdada ambae unadate nae japo sio mara nyingi na wala amuishi pamoja akikwambia ana ujauzito wako huwa mnachukua hatua gani.

NOTE: huyu mdada mara ya mwisho nimesex nae mwezi wa kwanza sikutumia kinga haswa haswa jana kanitumia vipimo kwa njia ya watsapp anasema tayari ana ujauzito wangu wa mwezi mmoja ila pia sijaamini kama kweli huo ujauzito ni wangu maana atuishi pamoja so vp hapa nichukue hatua gani kwa wajuzi wa haya mambo kingine mimi sikatai ujauzito but sipendi kulea mimba isiyo yangu
Kabla hatujakushauri cha kufanya, umeshapima UKIMWI? Maana mwenzako kapima mimba na anayo
 
Ukisikia kwamba nime date naye mara mbili
Unajiuliza how😂😂😂😂😂???
Au mtu anakuambia anaomba mdate wewe unadhani anaomba muwe karibu mfahamiane kumbe mwenzako anamaanisha kupigana miti.
Hahahahah ni mwendo wa kusopekana tu😄
 
Hiyo ya kimila ndio naitaka mimi
Hiyo ndio yenyewe mkuu, hizo za maabara lolote linaweza kutokea, all in all wanaume wengi tunalea hawa watoto kwa imani tu, kwa maana tulio wengi huwa tunajiridhisha kwenye kadi ya clinic ya kwamba anatumia majina yangu so ni wangu😅😅
 
Wanangu hivi mdada ambae unadate nae japo sio mara nyingi na wala amuishi pamoja akikwambia ana ujauzito wako huwa mnachukua hatua gani.

NOTE: huyu mdada mara ya mwisho nimesex nae mwezi wa kwanza sikutumia kinga haswa haswa jana kanitumia vipimo kwa njia ya watsapp anasema tayari ana ujauzito wangu wa mwezi mmoja ila pia sijaamini kama kweli huo ujauzito ni wangu maana atuishi pamoja so vp hapa nichukue hatua gani kwa wajuzi wa haya mambo kingine mimi sikatai ujauzito but sipendi kulea mimba isiyo yangu
Kutoishi nae sio shida,shida ni Yako hiyo mimba?!
 
Hongera sana baba kijacho, wewe hakika ni shapu shuta. Anza sasa, baba, kutuma matumizi kwa kuwa hiyo mimba ni yako pasi na shaka yaani, 100% ni yako.
 
Back
Top Bottom